M.Rutabo
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 1,048
- 2,768
Waungwana poleni na mihangaiko ya kila siku pamoja na mbinde mbinde za kupambana na Corona.
Nije kwenye mada.
Mimi ni kijana ambaye nimesoma kwa pesa ya bodi ya mkopo Ila sikuwai kubahatika kupata kuajiriwa, nilijiongeza atimaye nikafungua duka langu mtaji Kama milioni 12.
Nimejenga na nina viwanja vingine viwili vyote vimepimwa na vina hati Sasa nimetaka kupanua biashara nikasema ngoja nikachukue mkopo benki kwa vile kila kigezo ninacho lakini sio kwa danadana kama hizi yani nikama vile hiyo pesa watanipa bule nisiludishe tena bila riba.
Sasa sijui wenzangu na Mimi ambao muliwai kukopa benki mikopo ya kibiashara; muliwahi kutana na changamoto Kama hizi?