benki hipi zipo benki nyingi kwa elimu yako ku generaliz mambo haiko sawa kuwa wazi tukusaidieWaungwana poleni na mihangaiko ya kila siku pamoja na mbinde mbinde za kupambana na Corona.
Nije kwenye mada.
Mimi ni kijana ambaye nimesoma kwa pesa ya bodi ya mkopo Ila sikuwai kubahatika kupata kuajiriwa, nilijiongeza atimaye nikafungua duka langu mtaji Kama milioni 12.
Nimejenga na nina viwanja vingine viwili vyote vimepimwa na vina hati Sasa nimetaka kupanua biashara nikasema ngoja nikachukue mkopo benki kwa vile kila kigezo ninacho lakini sio kwa danadana kama hizi yani nikama vile hiyo pesa watanipa bule nisiludishe tena bila riba.
Sasa sijui wenzangu na Mimi ambao muliwai kukopa benki mikopo ya kibiashara; muliwahi kutana na changamoto Kama hizi?
Ukitimiza vigezo haukosi mkopo. Mzunguko wa biashara upoje. Una bank statements na financial reports kuonyesha cash flow etc. Ukivuka hapo ndo wanaenda kuangalia dhamana na lazima viendane. Sio unaomba 100M biashara mzunguko 10M viwanja vipo mpitimbi thamani yake 10 au 20M. Mawazo yangu tu lakini kama layman
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina uhakika na NMB, ila CRDB Ni kawaida Mkuu, nilipeleka barua kuomba mkopo, zilipita wiki 2 sijapata simu yao, nikaenda kukumbusha, ikakata wiki na nusu, ndiyo wakanipigia eti waje kuangalia dhamana na duka. Ndani ya muda walionihold on benki nyingine nilikuwa nimshapewa hela na mali iko dukani nnakusanya mareirsho, wao bado walikuwa wanasoma barua ya maombi. Three weeks and ahalf reading loan application letter. Ridiculous CRDB, sijui Ni watendaji wa eneo na eneo au Ni CRDB nchi nzima.Nmb na Crdb mkuu
Nmb na Crdb mkuubenki hipi zipo benki nyingi kwa elimu yako ku generaliz mambo haiko sawa kuwa wazi tukusaidie
Kila kitu kipo sawa cashflow zangu kwenye akaunti zote both Crdb na Nmb ni genuine kabisa nimebadili na Akaunti yangu Nmb kwenda kwenye fanikiwa Akaunti Ila naona chenga tu. Kwa upande wa dhamana najuwa zinajitosheleza kabisa Wala Sina wasiwasi na ilo.Mawazo yako yapo sawa kwa upande wangu