Hivi utaratibu wa kumpatia mteja/ kutumia sticker za TRA ukoje?

Hivi utaratibu wa kumpatia mteja/ kutumia sticker za TRA ukoje?

Superfly

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
985
Reaction score
2,066
Habari za muda huu wakuu, I hope mko poa.

Niende moja kwa moja kwenye mada. Hivi utaratibu wa kumpatia mteja/ kutumia sticker za TRA ukoje?

Yaani mfanyabiashara anatakiwa kuwa na vigezo gani ili bidhaa yake iwekwe sticker ya TRA?
images.jpeg
 
Mfanyabiashara anatakiwa kuwa na vigezo gani ili bidhaa yake iwekwe sticker ya TRA?
 
Stika IPI ya TRA?

Mimi nnayoijua ni ile ya kwenye mahari au unaongelea nyingine.
 
Hua inawekwa juu ya kizibo mkuu...
 
Toa maelezo ya kutosha mzee, unafanya biashara gani au unazalisha bidhaa gani, na hizo stika ni za nini?
 
Sticker ya Namna hii mkuu... Bidhaa nyingi hasa vinywaji zina hii kitu
 
Mfanyabiashara anatakiwa kuwa na vigezo gani ili bidhaa yake iwekwe sticker ya TRA?
 
Back
Top Bottom