Hili kweli lakini muda wa malipo sio miezi 6 bali ni ndani ya siku 90 (miezi 3)Wazee nimeanzisha biashara haina hata mwezi ila TRA wameshaanza usumbufu. Nilisikia kwamba kunamsamaha wa kodi kwa biashara mpya sijui ni miezi sita. Nikitaka kupewa huo msamaha officially inakuaje kwa anayejua utarabu jamani.
Mkuu hayo mambo mi yalinishinda yaan biashara nimeanza mwezi wa kumi na moja,Hili kweli lakini muda wa malipo sio miezi 6 bali ni ndani ya siku 90 (miezi 3)
Ipo hivi:
Nenda TRA katika kituo chako cha huduma za kodi kwa mteja, kama biashara unaanza utakuwa na (individual case):
1. Fomu za maombi ya TIN za kutoka TRA
2. Barua ya Mwenyekiti serikali za Mtaa ya utambulisho ambayo hutolewa pia TRA
3. Mkataba wa pango
4. Kopi ya kiambulisho na
5. Picha ya passport
Baada ya hapo utakadiriwa kodi ie provison tax kwa mwaka mzima ambayo utataakiwa kulipa ktk awamu nne ie
1. Awamu 1: mwisho kulipa 31 Machi
2. Awamu 2: mwisho kulipa 30 Juni
3. Awamu 3: mwisho kulipa 30 Septemba
4. Awamu 4: mwisho kulipa 31 Disemba
Baada ya makadirio utaomba muda zaidi wa kuangalia biashara yako ili ulipe. Hivyo utapewa siku 90, ndani ya siku hizo 90/utafanya malipo yako ya awamu ya kwanza.
(Nyongeza) Je kama biashara ipo vibaya sana, utalipa iwe awamu ya kwanza halafu utaandika barua ya kuomba marejeo ya makadirio na kujaza fomu ya makadirio upya kwa kiwango utakachoweza kulipa. Na kama biashara nzuri pia utafanya hivyo.
TUENDELEE NA SUALA LAKO
Sasa baada ya kupewa haya makadirio unaweza kuomba Certificate of Tax Clearance ili ikusaidie kupata leseni. Hapa vlvl utalazimika kulipa kodi na ushuru wa Mkataba wa pango ( usijesema mbona nalipa kodi ya makadirio ya awali, hii ni tofauti. Baada ya kulipa:
1. Kodi ya zuio (withholding tax 10% ya muda uliolipia mkataba wk)
2. Ushuru wa stempu (Stamp duty 1% ya muda uliolipiwa, huchajiwa kwa mwaka mzima ht km umelipia miezi michache)
Baada ya malipo haya utakuwa huru kupambana ndani ya siku hizo 90 kulipa awamu yao ya kwanza.
Natumaini umeelewa vema, acha na wengine waongezee zaidi
Ni kweli kn mambo yana ukakasi sana utekelezaji wakeMkuu hayo mambo mi yalinishinda yaan biashara nimeanza mwezi wa kumi na moja,
Ila kwenye makadirio ya kodi naambiwa nilipie 150000 kodi ya mwaka mzima wakati hicho kipindi cha nyuma sikuwa na biashara sasa vipi nilipie kitu ambacho sikuwanacho?
Nilichofanya nilichukua TIN namba yangu nikaondoka,sijarudi tena
Tutaonana january INSHAALLAH.
Duh!Hili kweli lakini muda wa malipo sio miezi 6 bali ni ndani ya siku 90 (miezi 3)
Ipo hivi:
Nenda TRA katika kituo chako cha huduma za kodi kwa mteja, kama biashara unaanza utakuwa na (individual case):
1. Fomu za maombi ya TIN za kutoka TRA
2. Barua ya Mwenyekiti serikali za Mtaa ya utambulisho ambayo hutolewa pia TRA
3. Mkataba wa pango
4. Kopi ya kiambulisho na
5. Picha ya passport
Baada ya hapo utakadiriwa kodi ie provison tax kwa mwaka mzima ambayo utataakiwa kulipa ktk awamu nne ie
1. Awamu 1: mwisho kulipa 31 Machi
2. Awamu 2: mwisho kulipa 30 Juni
3. Awamu 3: mwisho kulipa 30 Septemba
4. Awamu 4: mwisho kulipa 31 Disemba
Baada ya makadirio utaomba muda zaidi wa kuangalia biashara yako ili ulipe. Hivyo utapewa siku 90, ndani ya siku hizo 90/utafanya malipo yako ya awamu ya kwanza.
(Nyongeza) Je kama biashara ipo vibaya sana, utalipa iwe awamu ya kwanza halafu utaandika barua ya kuomba marejeo ya makadirio na kujaza fomu ya makadirio upya kwa kiwango utakachoweza kulipa. Na kama biashara nzuri pia utafanya hivyo.
TUENDELEE NA SUALA LAKO
Sasa baada ya kupewa haya makadirio unaweza kuomba Certificate of Tax Clearance ili ikusaidie kupata leseni. Hapa vlvl utalazimika kulipa kodi na ushuru wa Mkataba wa pango ( usijesema mbona nalipa kodi ya makadirio ya awali, hii ni tofauti. Baada ya kulipa:
1. Kodi ya zuio (withholding tax 10% ya muda uliolipia mkataba wk)
2. Ushuru wa stempu (Stamp duty 1% ya muda uliolipiwa, huchajiwa kwa mwaka mzima ht km umelipia miezi michache)
Baada ya malipo haya utakuwa huru kupambana ndani ya siku hizo 90 kulipa awamu yao ya kwanza.
Natumaini umeelewa vema, acha na wengine waongezee zaidi
Kiongozi, nisaidie na mimi. Nilikuwa na kibanda ambacho TRA walinikadiria kulipa kod ya sh. 150,000 kwa mwaka. Kwa sasa mauzo yameshuka hadi 25% ambapo nashindwa kumudu gharama za kulipa kodi ya mapato. Nifanyeje ili nisilipe mapato?
Jamani mimi nauliza, nimeimport daladala Mitsubishi Rosa Fuso kwa ajili ya kuzungusha sasa utaratibu unakuaje wa kuianza iyo biashara??
Nauliza kwa kuwa sioni kama iyo inahitaji jina la kampuni au bra bra nyingine kwan naiona km biashara ya taxi tu.
Naomba jibu wadau
Wewe utakutana naJamani mimi nauliza, nimeimport daladala Mitsubishi Rosa Fuso kwa ajili ya kuzungusha sasa utaratibu unakuaje wa kuianza iyo biashara??
Nauliza kwa kuwa sioni kama iyo inahitaji jina la kampuni au bra bra nyingine kwan naiona km biashara ya taxi tu.
Naomba jibu wadau
Aisee pole sana. Sio siri mazingira ya biashara bongo ni ya uhasama sana.yaani hela yote inaishia serikaliniYaani hili suala la kodi hapa kwetu ni tatizo, unaanza biashara wanakukadiria mapato, unalipa hata kama hujakusanya hiyo fedha, mwaka unaofuata unakadiriwa ongezeko kubwa zaidi, mimi mwaka juzi nilikadiriwa laki 2, biashara ya stationary, mwaka huu waka nikadiria laki 8! nikawaambia silipi nikaandikambarua ya kufnga biashara hapo hapo ofisini kwao, wakaniambia unaweza kulipa nga[i nikaw waambia hata ile laki mbili nililipa hasara, eti basi toa laki tano nikawaambia pokeeni tu hii barua, nikaondoka..Ni wapuuzi some times juzi rais amesema kweli wanafilisi watu hawa TRA.
Pole sana Mkuu LihakangaKiongozi, nisaidie na mimi. Nilikuwa na kibanda ambacho TRA walinikadiria kulipa kod ya sh. 150,000 kwa mwaka. Kwa sasa mauzo yameshuka hadi 25% ambapo nashindwa kumudu gharama za kulipa kodi ya mapato. Nifanyeje ili nisilipe mapato?
Nakushukuru sana mkuu, umeenda mle mle hakika. Assumption yako kama uliiona biashara yangu vile. Kwa kuwa Desemba hii nalipa installment ya mwisho, nafikiri nianze kupambana kujitetea. Asante sana kwa msaada wako.Pole sana Mkuu Lihakanga
Baada ya makadiro ktk ile awamu ya kwanza ya malipo, kama biashara ilikuwa na hali mbaya kwa kushika kimauzo ulitakiwa ichukue hutua:
1. Kuandika barua juu ya hali halisi ya biashara kwa wakati huo
2. Kujaza fomu ya makadirio iliyorejewa ie revised provison tax form ambayo inaonyesha uwezo wk wa kulipa
Sasa basi
Kama mauzo unasema yameshika kwa 25% hii ina maana kuna uwezekano mkubwa wa mauzo kuwa:
Scenario 1
Mauzo yk yapo kati ya mil 4 hadi mil 6 lkn hayafiki mil 7.5 (nakisia tu coz hukisema ulikuwa wauza kiasi gani kabla. Lkn kwa kodi ya 150,000 ina maana mauzo yk yalikuwa kati ya mil 4 hadi mil 7.5. Hivyo kama "assumption" juu hp ni sawa utatakiwa kulipa kodi ya 150,000 ile ile na mwaka ujao
Scenario 2
Kama mauzo baada ya kushuka kwa 25% yapo au yanakaribia mil 4 lkn si mil 4 basi hutalipa kodi kwa mwaka ujao wa fedha
Nini ufanye
Andika barua na kuelezea kinagaubaga juu ya kishuka kwa mauzo na biashara yako pia. Ikibidi hata kuwakaribisha sehem yk ya biashara kushuhudia hilo km wanabisha
Kachukue kitambulisho cha machinga tuu mkuu. Elfu 20 tu husumbuliwi tena na mtuKiongozi, nisaidie na mimi. Nilikuwa na kibanda ambacho TRA walinikadiria kulipa kod ya sh. 150,000 kwa mwaka. Kwa sasa mauzo yameshuka hadi 25% ambapo nashindwa kumudu gharama za kulipa kodi ya mapato. Nifanyeje ili nisilipe mapato?
Jina kama roho yako tu, wema wamenisaidia najua cha kufanya. Kafie mbali na roho yako mbaya.Kachukue kitambulisho cha machinga tuu mkuu. Elfu 20 tu husumbuliwi tena na mtu
Mkuu kama Flem au jengo ni lako inakuaje hapo kwenye mkataba wa pango?Hili kweli lakini muda wa malipo sio miezi 6 bali ni ndani ya siku 90 (miezi 3)