Afrolink-Tz Consult Ltd
JF-Expert Member
- Feb 25, 2018
- 424
- 950
Kama flemu ni yako ina maana ipo ktk eneo lako la nyumba. Hivyo basi unapoenda kulipa nenda na ile fomu ya malipo pamoja na risiti ya malipo ya kodi ya jengo ie property tax. Watajiridhisha na iwapo ulikuwa hujalipa basi utaambiwa ulipe kodi ya majengo lkn hakutakuwa na "withholding tax" wala "stamp duty"!Mkuu kama Flem au jengo ni lako inakuaje hapo kwenye mkataba wa pango?
AsanteKama flemu ni yako ina maana ipo ktk eneo lako la nyumba. Hivyo basi unapoenda kulipa nenda na ile fomu ya malipo pamoja na risiti ya malipo ya kodi ya jengo ie property tax. Watajiridhisha na iwapo ulikuwa hujalipa basi utaambiwa ulipe kodi ya majengo lkn hakutakuwa na "withholding tax" wala "stamp duty"!
1. Kujiita kampuniHivi ukiwa na Lori la kubeba mizigo la tani 10 kwa mfano, Hapo pia unalazimika kujiita kampuni?
Na kodi gani unalipa au TRA wanakukadiriaje kodi?
Sasa hao TRA wana mechanism gani ya kujua kama mwezi huu nimesafirisha mahindi kutoka mbeya tani 10, au tani 100?1. Kujiita kampuni
Hapana haustahili kujiita kampuni kama kisheria shughuli zako haujazisajiri na kufanyika kwa muundo wa kampuni. Ina maana utabaki kuwa mtu binafsi tu.
2. Kodi TRA
Utalipa kodi ya mapato. Zile stika za mapato wazifahamu? Ndiyo makadirio yako. Makadirio yanazingatia mapato yako utakapokuwa waulizwa juu yake mwishowe utaambiwa kiasi gani utatakiwa ulipe
Unatakiwa uwe na mashine kielektroniki ya kutoa risiti ie EFD uwe unaapa wateja wako. Bado hujakumbana na changamoto ya kuzuiwa lori lako kuondoka kwa kushindwa kutoa risiti? Nenda Jangwani kule kwa wenye maloriya mizigo au pita Kariakoo kwa wasafirishaji au nenda kule checkpoint ya hii barabara ya Morogoro (Vigwaza au baada ya Vigwaza, nirekebishwe kama nimekosea coz jina la eneo nimelisahau kdg). Kikao cha TATOA mwaka huu hukuhudhuria pia? Tafuta dondoo za kikao.Sasa hao TRA wana mechanism gani ya kujua kama mwezi huu nimesafirisha mahindi kutoka mbeya tani 10, au tani 100?
au kama nimeamua kulipaki loli langu uani kwa mwezi mzima?
1. Kujiita kampuni
Hapana haustahili kujiita kampuni kama kisheria shughuli zako haujazisajiri na kufanyika kwa muundo wa kampuni. Ina maana utabaki kuwa mtu binafsi tu.
2. Kodi TRA
Utalipa kodi ya mapato. Zile stika za mapato wazifahamu? Ndiyo makadirio yako. Makadirio yanazingatia mapato yako utakapokuwa waulizwa juu yake mwishowe utaambiwa kiasi gani utatakiwa ulipe