Hivi utaratibu wa TRA mtu akifungua biashara anatakiwa akae muda gani bila kulipa kodi na hii kitu infanyajwe officially

Mkuu kama Flem au jengo ni lako inakuaje hapo kwenye mkataba wa pango?
Kama flemu ni yako ina maana ipo ktk eneo lako la nyumba. Hivyo basi unapoenda kulipa nenda na ile fomu ya malipo pamoja na risiti ya malipo ya kodi ya jengo ie property tax. Watajiridhisha na iwapo ulikuwa hujalipa basi utaambiwa ulipe kodi ya majengo lkn hakutakuwa na "withholding tax" wala "stamp duty"!
 
Hivi ukiwa na Lori la kubeba mizigo la tani 10 kwa mfano, Hapo pia unalazimika kujiita kampuni?
Na kodi gani unalipa au TRA wanakukadiriaje kodi?
 
1. Kujiita kampuni
Hapana haustahili kujiita kampuni kama kisheria shughuli zako haujazisajiri na kufanyika kwa muundo wa kampuni. Ina maana utabaki kuwa mtu binafsi tu.
2. Kodi TRA
Utalipa kodi ya mapato. Zile stika za mapato wazifahamu? Ndiyo makadirio yako. Makadirio yanazingatia mapato yako utakapokuwa waulizwa juu yake mwishowe utaambiwa kiasi gani utatakiwa ulipe
 
Sasa hao TRA wana mechanism gani ya kujua kama mwezi huu nimesafirisha mahindi kutoka mbeya tani 10, au tani 100?
au kama nimeamua kulipaki loli langu uani kwa mwezi mzima?
 
Unatakiwa uwe na mashine kielektroniki ya kutoa risiti ie EFD uwe unaapa wateja wako. Bado hujakumbana na changamoto ya kuzuiwa lori lako kuondoka kwa kushindwa kutoa risiti? Nenda Jangwani kule kwa wenye maloriya mizigo au pita Kariakoo kwa wasafirishaji au nenda kule checkpoint ya hii barabara ya Morogoro (Vigwaza au baada ya Vigwaza, nirekebishwe kama nimekosea coz jina la eneo nimelisahau kdg). Kikao cha TATOA mwaka huu hukuhudhuria pia? Tafuta dondoo za kikao.
Kama umeamua kutofanya biashara toa taarifa rasmi kwa kuandika barua kwenda TRA
Pili nikuulize
Unafanya local au transit cargo business?
 
Majibu yako nimeyapenda..

Back
Top Bottom