Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Mara kadhaa nimekuwa nikikutana na watu na wengine kuwasikia wakijitambulisha kwa vyeo fulan lakini nashindwa kuelewa kuwa hivi vyeo wanavipata wapi?
Kuna vyeo vinatumika zaidi mfano
CDE
COMRADE
CAPTAIN
DKT
Na hivi vyeo hasa hivi vitatu vya mwanzo vinatumika zaidi kwenye majukwaa ya kisiasa
Je utaratibu wa upatikanaji wa hivi vyeo UPOJE?
Kuna vyeo vinatumika zaidi mfano
CDE
COMRADE
CAPTAIN
DKT
Na hivi vyeo hasa hivi vitatu vya mwanzo vinatumika zaidi kwenye majukwaa ya kisiasa
Je utaratibu wa upatikanaji wa hivi vyeo UPOJE?