Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Asante sana Mkuu 🙏Nitasahahihishwa nitakapokuwa nimekosea
-Cde ni kifupi cha COMRADE=ni salaam ya kikomunisti inayomanisha "RAFIKI mnayeshabihiana sera. tabia na misimamo katika siasa"
-CAPTAIN=ni afsa wa jesh hususani jwtz kwa upande wa tz mwenye nyota tatu AU ni baharia kiongozi wa meli
-DKT ina maana karbia tatu
1. ni cheo anachopewa mtaaluma mwenye shahada tatu katika mtiririko wa shahada ya kwanza, shahada ya uzamili na shahada ya uzamivu(bachelor, masters then phd) ukifikia phd hapo tayari wewe ni dkt mfano mwigulu nchemba, wilbroad slaa, tulia ackson nk
2. hutumika kama cheo cha utambulisho wa heshima ya kufanya jambo fulani au kwa kusaidia jamii nk mfano dk kikwete, samia, RASHFORD. Msukuma nk(hapa haijalishi una digrii au hauna). mara zote shahada za heshima hutolewa na vyuo vyenye hadhi ya kutoa phd
3. hutumika kama utambulisho wa taaluma ya utabibu wa kusomea au huu wa tiba asili
Certified Public AccountatUmesahau na CPA eg makala
Nimekueelewa vzr comradeNitasahahihishwa nitakapokuwa nimekosea
-Cde ni kifupi cha COMRADE=ni salaam ya kikomunisti inayomanisha "RAFIKI mnayeshabihiana sera. tabia na misimamo katika siasa"
-CAPTAIN=ni afsa wa jesh hususani jwtz kwa upande wa tz mwenye nyota tatu AU ni baharia kiongozi wa meli
-DKT ina maana karbia tatu
1. ni cheo anachopewa mtaaluma mwenye shahada tatu katika mtiririko wa shahada ya kwanza, shahada ya uzamili na shahada ya uzamivu(bachelor, masters then phd) ukifikia phd hapo tayari wewe ni dkt mfano mwigulu nchemba, wilbroad slaa, tulia ackson nk
2. hutumika kama cheo cha utambulisho wa heshima ya kufanya jambo fulani au kwa kusaidia jamii nk mfano dk kikwete, samia, RASHFORD. Msukuma nk(hapa haijalishi una digrii au hauna). mara zote shahada za heshima hutolewa na vyuo vyenye hadhi ya kutoa phd
3. hutumika kama utambulisho wa taaluma ya utabibu wa kusomea au huu wa tiba asili
CPA Amosi makala?Nitasahahihishwa nitakapokuwa nimekosea

Hapo ni Certified Public Accountant Amosi MakalaCPA Amosi makala?