Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,822
- 5,425
Jamani hv mshawah kufuatilia ndege aitwaye bata wa jinsia ya kiume? Hivi kile kimnyororo kinachotoka wakati anafanya 'matusi' ndio uume wake? ni kwanini umejivirigana vile na kwanini unachelewa kuzama ndani.? Naomba jibu
Picha tafadhali
Aisee niliwahi kuusaka pindi nikiwa mdogo tulipo chinja bata dume lakini sikufanikiwa uona...
Aisee niliwahi kuusaka pindi nikiwa mdogo tulipo chinja bata dume lakini sikufanikiwa uona...