Hii chi tukiendelea namna hii tutapigana mapanga sasa hvi, hizi nyie vijana wa CHADEMA mnasimama kabisa na kutangaza ubaguzi wa aina hii, ina maana mtu kama anatoka kigoma, kagera au katavi hasitahili kufanya kazi ikulu kisa anatokea mpakani?
Samahani kwa kutumia lgha kali lakini tunaelekea kubaya, mwanzisha mada angalia nafasi yako kwenye CHADEMA na heshimu umoja wa watanzania vinginevyo nitaanza kuamini kuwa CHADEMA ni wakabila maana nikikuona ww naona mwongozo wa CHADEMA nategemea uweze kusimamia vitu vinavyoleta tja kwenye taifa, post kama hii haishushi adhi yako tu bali inashusha hadhi ya chama chako na kukatisha tamaa wapenda mabadiliko wanaofikiri CHADEMA ni sehemu ya kukimbilia
Unafanya watu waamini kuwa Zito hakuwa na matatizo ila kwa kuwa alikuwa anatokea kigoma ndio maana mkaamua kumfukuza, sasa ofisi za CHADEMA kwenye mikoa hiyo wanachama zinapata wapi au wanachama wenu ni wachaga tu walioko kwenye hiyo mikoa?