mwenewachu
Member
- Nov 19, 2011
- 74
- 22
.Ramadhani Dau ni Mnubi ndio maana anagawana na wahuni wenzie mali za NSSF...wamanyema tangu mwanzo hawajawa watanzania ndio maana walikuw ana msikiti wao, wauza watumwa na uchawi..leo hii ndio wanaogawana nchi...na kila kitu wanakiita ni sawa.
Mbona unaongea kila kitu km hujui unataka fikia malengo gani?Sasa nikikuambia hisoria kutasema vipi kwamba IKULU imejipanda na matishio yoyote ya watu wanaoweza fanya kazi kwa serikali za asili yao..Unahusisha vipi UNUBI na UMANYEMA?!! Wanubi ni watu wenye asili ya Juba,Sudan ya kusini na Wamanyema ni wenyeji wa Kigoma wenye asili ya DRC.Je ulishawahi kusoma historia ili walau kujua wanubi walifikaje nchi hii na waliingia mwaka gani?
Hii chi tukiendelea namna hii tutapigana mapanga sasa hvi, hizi nyie vijana wa CHADEMA mnasimama kabisa na kutangaza ubaguzi wa aina hii, ina maana mtu kama anatoka kigoma, kagera au katavi hasitahili kufanya kazi ikulu kisa anatokea mpakani?
Samahani kwa kutumia lgha kali lakini tunaelekea kubaya, mwanzisha mada angalia nafasi yako kwenye CHADEMA na heshimu umoja wa watanzania vinginevyo nitaanza kuamini kuwa CHADEMA ni wakabila maana nikikuona ww naona mwongozo wa CHADEMA nategemea uweze kusimamia vitu vinavyoleta tja kwenye taifa, post kama hii haishushi adhi yako tu bali inashusha hadhi ya chama chako na kukatisha tamaa wapenda mabadiliko wanaofikiri CHADEMA ni sehemu ya kukimbilia
Unafanya watu waamini kuwa Zito hakuwa na matatizo ila kwa kuwa alikuwa anatokea kigoma ndio maana mkaamua kumfukuza, sasa ofisi za CHADEMA kwenye mikoa hiyo wanachama zinapata wapi au wanachama wenu ni wachaga tu walioko kwenye hiyo mikoa?
Ulichoshindwa soma ..hadi ukawa km trojan horse..ni kwamba.Km Rais alikuwa si mchaga ila wachaga wakatawala...sijui unajisifu nini sasa km wachaga hawatatawala bila kuwa na mchaga.Mwenyewe umekiri kuwa wachaga hawahitaji sana kuwa rais mchaga.Wala kuwa vibaraka wa Ikulu. Ulichoandika hapa ni wazi unajua kuwa watarudi na wapo..ndio maana umeanza jifikirisha kuwa enzi zimepita na unatamani zisirudi..nilidhani hata unasema kuwa walishawahi kuwa na rais ..hatatakaa tena wampate..teh teh..ujinga sijui mmerithi wapi wa namna hii..yaani kuna millions of ways ya kuwatumikisha nyie. Wachaga kwa taarifa yako hawafanyi mambo ya kufikirika...ndio wapo certain kuwa wanakwenda hadi ktk mazindiko yenu na chuki zenu,ila wanapiga bao kati yenu.
wewe ndio mwenye chuki hata kuliko aliyeandika andiko hili.aliyekuambia mwandishi ni mwanachadema ni nani??!
Ni makabila gani hayaruhusiwi kuwa wanausalama hapa Tz?
Mkuu iku nyingine usikurupuke tafuta profile za watu kabla ya kuonyesha ni kiasi gani ni mvivu wa kusoma
Vetting? Mmh bora nikae kimyaAcha ubaguzi wanaofanya kazi ikulu wanafanyiwa upekuzi(vetting) wa kufa mtu
Ata sijui kwanini wanaanza kuitaja taja ikulu tena na manchi ya rwanda,burundi,congo na ugandahii mada ni ya zamani kidogo ila ilikaa kibaguzi baguzi sana
Nilikuta tra mfanyakazi ana ndugu Kenya! Mwingine Rwanda! Niliganda!Ata sijui kwanini wanaanza kuitaja taja ikulu tena na manchi ya rwanda,burundi,congo na uganda
stroke kwani kuwa na ndugu wa nchi jirani ni kosa?Nilikuta tra mfanyakazi ana ndugu Kenya! Mwingine Rwanda! Niliganda!
Barak Obama ni mkenyamkenyamkenyamkenya but amekuwa senator na rais wa marekanihaha..ukisoma nilichoandika ndio utaona shida..
Aksante kaka Kwa Kuniturahisishia KAZI Na kuokoa Muda Kwa Kumuweka Wazi Mleta Mada nilitaka kumjibu baada kuona hii post yako nakugundua kumbe ndio hao!! Tulisha wajuaHii chi tukiendelea namna hii tutapigana mapanga sasa hvi, hizi nyie vijana wa CHADEMA mnasimama kabisa na kutangaza ubaguzi wa aina hii, ina maana mtu kama anatoka kigoma, kagera au katavi hasitahili kufanya kazi ikulu kisa anatokea mpakani?
Samahani kwa kutumia lgha kali lakini tunaelekea kubaya, mwanzisha mada angalia nafasi yako kwenye CHADEMA na heshimu umoja wa watanzania vinginevyo nitaanza kuamini kuwa CHADEMA ni wakabila maana nikikuona ww naona mwongozo wa CHADEMA nategemea uweze kusimamia vitu vinavyoleta tja kwenye taifa, post kama hii haishushi adhi yako tu bali inashusha hadhi ya chama chako na kukatisha tamaa wapenda mabadiliko wanaofikiri CHADEMA ni sehemu ya kukimbilia
Unafanya watu waamini kuwa Zito hakuwa na matatizo ila kwa kuwa alikuwa anatokea kigoma ndio maana mkaamua kumfukuza, sasa ofisi za CHADEMA kwenye mikoa hiyo wanachama zinapata wapi au wanachama wenu ni wachaga tu walioko kwenye hiyo mikoa?
stroke mbona mimi sina dada nchi yoyote ile ya jirani.....!!!!!!!!Mfano Dada ako yupo huko? How is that?