Hivi uwepo wa maafisa wa Ikulu wenye asili ya Rwanda na Burundi si tatizo kwa usalama?

Kwanza waidentify watu ambao unahisi sio raia au wanadouble identitity maana huko kote ni tanzania.

Pili inaonekana unahofu na nchi hizo na watu wake. Kwa nini sio Mara, arusha na moshi maana huko wanapakana na Kenya. Kwa nini sio mbeya, sumbawanga, mtwara tunduru zanzibar tanga

Acha story za vijiweni mkuu. Mtu mbaya hana formula anatokea popote muda wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…