Hivi uzuri wa kocha wa Yanga Mwinyi Zahera ni upi ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Timu ya Yanga imewahi kuwa na na Makocha wengi sana wazuri kabisa na walioipa mafanikio makubwa sana timu hii , ikiwemo kubeba vikombe kadhaa lakini hawajawahi kusifiwa kama anavyosifiwa huyu kocha mbovu asiye na mafanikio yoyote aitwaye Mwinyi Zahera , hajawahi hata kubeba kikombe cha kunywea kahawa .

Amewapa nini wanayanga huyu mcongo ? au ni kweli kwamba Wacongo wanatumia ndumba kupumbaza wengine ? Huyu kiuwezo yuko nyuma mno kumlinganisha na Kataraiya Minziro lakini sifa anazopewa hata Man U hawakuwahi kumpa Alex Ferguson .

UPDATES
.................
 
Acheni Upumbavu ninyi, Zahera anafanya kazi Yanga katika Mazingira Magumu
Kule kuiwezesha timu kushika nafasi ya pili na Almanusura ya Kutwaa Ubingwa
Mnafikiri ni Kazi ya Kitoto? Bila shaka haya majungu yameanza mapema kuna
kinachoogopwa, BADO NINA IMANI SANA NA ZAHERA..... TUACHIENI KOCHA
WETU.
 
uzuri wake ni nini ? ni vema ukafafanua ili tujiridhishe kwamba hujapuliziwa vumbi la Congo .
 
Kawapa pututu ya congo hata akitaka [emoji979][emoji724] wanampa[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kushika nafasi ya Pili ligi Kuu TPL.
Hilo ndilo lengo la Yanga kushiriki ligi kuu ? halafu mbona Jack Chamangwana alibeba hadi ubingwa lakini hakuwahi kusifiwa kama huyu anayeshika nafasi ya pili ? hapa kuna kitu .
 
Hilo ndilo lengo la Yanga kushiriki ligi kuu ? halafu mbona Jack Chamangwana alibeba hadi ubingwa lakini hakuwahi kusifiwa kama huyu anayeshika nafasi ya pili ? hapa kuna kitu .
Ndiyo maana nimekuambia angalia kaikuta Yanga kwenye mazingira gani? Au
Ulitaka tuendelee kubaki na LWANDAMINA?
 
Ndiyo maana nimekuambia angalia kaikuta Yanga kwenye mazingira gani? Au
Ulitaka tuendelee kubaki na LWANDAMINA?
George Lwandamina ni coach wa viwango .Wacha kumlinganisha na huyo mpiga kelele.Lwandamina ametwaa ubingwa na Zesco
Zesco ni mabingwa wa Zambia. Na mtakutana nao mkishinda dhidi ya Township Rollers.
Bosi wake huyu mpiga kelele amefukuzwa na timu ya Taifa ya Congo kwa matokeo mabaya. Yeye hata hakutajwa.
 
Alisikika mlevi mmoja akisema
 
Huwa wanaposema simba ni mbumbumbu basi bila shaka mtoa mada anathibitisha hilo.Sema kwanza ubovu wa zahera ni upi na ndipo uulize ni kwa nini Yanga wanaendelea kumshikilia.sasa unamtuhumu zahera halafu hujaona kosa hata moja kwake.
Kuna mmoja alianzisha uzi kuhusu eti Zahera havai mavazi anayotaka yeye huku alifananisha na wa simba lakin sa simba juzi kaka benchi na jinsi.sasa simba sijui mnakwama wapi?
kama huna cha kuandika sio lazima uandike uzi ili uonekane umeandika.kaa kimya tu maana mpira ni data na fact wewe unaleta umbumbumbu kweli Rage hakukosea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…