Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
VAR imeletwa na Azam media.Habari ndiyo hiyo wakuu mliopo Dar es salaama vipi mambo tayari ama Bado?
Uzi tayari.
So TFF wamekataa isiwekwe ama?VAR imeletwa na Azam media.
Mwenye mamlaka ya kuruhusu itumike ni TFF kuoitia bodi ya ligi.
Ndiyo Nini umeongea mkuu?Unataka kubwekea maendeleo yako...?
Mshahara hakuna mwezi huu.
Hawajatoa kibari kwa Azam kuitumia. Ila ipo kamiliSo TFF wamekataa isiwekwe ama?
Basi ni jambo jema.Hawajatoa kibari kwa Azam kuitumia. Ila ila kamili
Mbona walishatoa taarifaHabari ndiyo hiyo wakuu mliopo Dar es salaama vipi mambo tayari ama Bado?
Uzi tayari.
Katika nyakati tofauti kwa mwaka huu tuliambiwa na TFF kuwa VAR itaanza kutumika kwenye michezo ya ligi kuu ya NBC katika baadhi ya viwanja vitakavyokidhi vigezo. Lakini ligi imeanza tunakwenda mzunguko wa pili sasa hakuna hata dalili za matumizi ya VAR.
Soma Pia:
Litakuwa jambo jemaMbona walishatoa taarifa
Wanatoa mafunzo kwanza kwa marefa
Itaanza 1992Habari ndiyo hiyo wakuu mliopo Dar es salaama vipi mambo tayari ama Bado?
Uzi tayari.
Katika nyakati tofauti kwa mwaka huu tuliambiwa na TFF kuwa VAR itaanza kutumika kwenye michezo ya ligi kuu ya NBC katika baadhi ya viwanja vitakavyokidhi vigezo. Lakini ligi imeanza tunakwenda mzunguko wa pili sasa hakuna hata dalili za matumizi ya VAR.
Soma Pia:
Heeeee yamekuwa hayo tenaTanzania haina umeme wa kuendesha hiyo mitambo