Hivi VAR itaanza lini kutumika kwenye Ligi kuu ya NBC 2024/2025? Maana kumekuwa kimya na ligi imeshaanza

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
4,035
Reaction score
11,462
Katika nyakati tofauti kwa mwaka huu tuliambiwa na TFF kuwa VAR itaanza kutumika kwenye michezo ya ligi kuu ya NBC katika baadhi ya viwanja vitakavyokidhi vigezo. Lakini ligi imeanza tunakwenda mzunguko wa pili sasa hakuna hata dalili za matumizi ya VAR.

Na hata katika uzinduzi wa vifaa vipya ya Azam tv tulisikia hilo jambo likizungumzwa na Rais wa TFF Wallance Karia na kuwa wamepata vifaa lakini pia Azam tv nao watakuwa sehemu ya kuifanya kazi hiyo.

Ila kimya na hakuna chochote kinachoendelea, Embu TFF tokeni mtupe mrejesho je Vifaa hivyo vya VAR vimeshafika nchini na kama vimefika lini vitafungwa kwenye hivyo viwanja na kuanza kutumika

Soma Pia:
 
Habari ndiyo hiyo wakuu mliopo Dar es salaama vipi mambo tayari ama Bado?
Uzi tayari.

Katika nyakati tofauti kwa mwaka huu tuliambiwa na TFF kuwa VAR itaanza kutumika kwenye michezo ya ligi kuu ya NBC katika baadhi ya viwanja vitakavyokidhi vigezo. Lakini ligi imeanza tunakwenda mzunguko wa pili sasa hakuna hata dalili za matumizi ya VAR.

Soma Pia:
Mbona walishatoa taarifa
Wanatoa mafunzo kwanza kwa marefa
 
Habari ndiyo hiyo wakuu mliopo Dar es salaama vipi mambo tayari ama Bado?
Uzi tayari.

Katika nyakati tofauti kwa mwaka huu tuliambiwa na TFF kuwa VAR itaanza kutumika kwenye michezo ya ligi kuu ya NBC katika baadhi ya viwanja vitakavyokidhi vigezo. Lakini ligi imeanza tunakwenda mzunguko wa pili sasa hakuna hata dalili za matumizi ya VAR.

Soma Pia:
Itaanza 1992
 
Kuna mechi moja Simba na yanga waliweka waamuzi sita Ila yanga wakapewa penati faulu ulifanyika nje ya box , hata var ikija bado hawatatatua uozo wa matefa..
 
Back
Top Bottom