mfano nikinunua kitu 100,000 input tax itakuwa kiasi gani? nikiuza 120,00 output itakkuwa kiasi gani?.Kwanza inatakiwa ujue kuhusu input na output tax.
Unapouza bidhaa unakata output tax na unaponunua unakatwa input tax.
Mwisho wa mwezi unachopeleka TRA ni tofauti kati ya input na output iwapo output tax ni kubwa.
Input ikiwa ni kubwa kuliko output hiyo tofauti unaenda ku claim tra.
Kwa hiyo VAT UNAKATAKA KWENYE MAUZO AU MANUNUZI
Value added tax. Panga bei yako,yaani weka faida inayokutosheleza then ukiuza unaongeza 18%.Mfano nimenunua bidhaa 100,000, nikiweka gharama zingine inafika 103,000 na nimeuza bidhaa hiyo 120,000 na kupata faida 17,000.
Je, VAT itakuwa 18% ya 120,000, yaani 21,600?.
Au itakuwa 18% ya 17,000 yaani 3,060?
Sheria ya kodi ya nchi inasemaje kuhusu VAT?
Nchi zingine zinafanyaje?
Naomba kujuzwa.
mkuu hapo si ntakuwa nimeuza 141,600 na siyo 120,000?Unauza 120,000 + 18% VAT,Nasema hivyo kwakuwa nakumbuka mwaka juzi 2015 nilienda kukata insurance kwa 200,000 lakini mwaka jana 2016 walipoanzisha VAT katika huduma hiyo Nikalipa 236,000
nimenunua laki na kodi nimekatwa.
Hiyo bidhaa ya TZS 100,000 kama umenunua kwa mfanyabiashara aliyesajiliwa tayari ndani yake kuna VAT TZS 15,254.Mfano nimenunua bidhaa 100,000, nikiweka gharama zingine inafika 103,000 na nimeuza bidhaa hiyo 120,000 na kupata faida 17,000.
Je, VAT itakuwa 18% ya 120,000, yaani 21,600?.
Au itakuwa 18% ya 17,000 yaani 3,060?
Sheria ya kodi ya nchi inasemaje kuhusu VAT?
Nchi zingine zinafanyaje?
Naomba kujuzwa.
Mwisho wa mwezi utapeleka mahesabu ya VAT tra huko utawaonesha VAT uliolipa kwenye manunuzi nao watapunguza kwenye VAT ya mauzo unayotakiwa kuwalipa.nimenunua laki na kodi nimekatwa.
Kama umenunnua kwa mtu ambae HAKUSAJILIWA VAT manunuzi yako hayatakuwa na VAT kwahio utakusanya 18% VAT na kuipeleka tra.Hiyo bidhaa ya TZS 100,000 kama umenunua kwa mfanyabiashara aliyesajiliwa tayari ndani yake kuna VAT TZS 15,254.
Endapo umeuza TZS 120,000 ikijumuisha VAT, VAT hapo ni TZS 18,305.
Utakacholipa TRA ni TZS 3,051 hii ndio kodi ya Ongezeko la thamani kati ya bei uliyouzia na ile uliyonunulia.
Ugumu kwenye VAT unakuja pale unaponunua kwa mtu ambaye hakusajiliwa VAT wakati wewe umesajiliwa VAT. Ili usipate shinda kwenye sheria ya VAT, kama wewe umesajiliwa VAT nunua bidhaa zako kwa mtu aliyesajiliwa VAT kwani ile VAT unayolipa kwenye manunuzi si gharama ya biashara yako, utajirudisha kwa kupunguza kwenye VAT uliyowatoza wateja wako.
kama nimekupata, wanakata kwenye mauzo. kwahiyo unapopanga bei inabidi uongeze faida na VAT?Value added tax. Panga bei yako,yaani weka faida inayokutosheleza then ukiuza unaongeza 18%.
Kama umeona 100,000 ndio bei sahihi ya bidhaa yako kama uko VAT registered uza 118,000.
18,000 VAT....100,000 yako.
Ndio manake. Na inakuwaje anayekuuzia Jumla awe hajasajiliwa wakali wewe unaenda kuuza rejareja uwe umesajiliwa? Ina maana wewe biashara yako ni kubwa kuliko huyo anayekuuzia Jumla?Kama umenunnua kwa mtu ambae HAKUSAJILIWA VAT manunuzi yako hayatakuwa na VAT kwahio utakusanya 18% VAT na kuipeleka tra.
VAT ni wewe unaongeza 18% kwenye mauzo yako.kama nimekupata, wanakata kwenye mauzo. kwahiyo unapopanga bei inabidi uongeze faida na VAT?
Biashara sio duka tu. Mfano una garage VAT registered, mara nyingi unanunua parts in retail kutokana na demand ya siku hio. Obviously utanunua kwa retailer ambao wengi sio vat registered.Ndio manake. Na inakuwaje anayekuuzia Jumla awe hajasajiliwa wakali wewe unaenda kuuza rejareja uwe umesajiliwa? Ina maana wewe biashara yako ni kubwa kuliko huyo anayekuuzia Jumla?
Ndio manake. Na inakuwaje anayekuuzia Jumla awe hajasajiliwa wakali wewe unaenda kuuza rejareja uwe umesajiliwa? Ina maana wewe biashara yako ni kubwa kuliko huyo anayekuuzia Jumla?
input itakuwa 18000 na output 21600. kwa hiyo ntalipa 3,600? ni ikitokea nimeuza kwa hasara labda 90,000 na VAT ikawa 16200 inabidi niende TRA kudai (16200-18000) 1,800?. nafikiri nimekupata.Input tax hapo ni 100,000/1.18 zidisha kwa 0.18