Mimi sio mvaaji wa nguo Fupi wala za kubana hapa inakuwajeKuna bwana mmoja alikuja jana na uzi wake akiwalalamikia nyie msiopenda kuvaa chupi, umuhimu wa kiafya nadhani inawapunguzia wanaume hamu ya kuwatamani pale mnapotembea au kuokota peni ofisini.
Umeniacha wengine st kidumu na ufagio
Inachuja small particle pia hiyo kitu inahitaji joto kiasi kwa mbaliiChujio kivipi nifafanulie Mkuu
[emoji3][emoji3]mkuu Kumbe tupo wengAsilimia 95 nipo tubeless boxer navaa kama hapa nmekaa naangalia tv
Hahaaaaaaa Subir nikasearch google naogopa πNjoo nkuonyeshe pm
Hahaaaaaaa Subir nikasearch google naogopa π
Naibandika Pedi kwenye skin tight ndefu bas. Nikimaliza naendelea na utaratibu WanguUkiwa kwenye Hezi unatumiaga njia gani kuzuia isichuruzike
Haaahaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1]Ndugu,
Binafsi sijui na sijui kwasababu leo yapata miaka 13 sivai chupi!
Vuzi Hakuna. Naacha zile rasha rasha za kusaidia mashambulizi tu ya kiumeni ππHuvai chupi mixer vuzi
Hapo hata mtu akichungulia haoni kitu
Mi sijui madhara kiafya ya kutovaa chupi asee
Hahaaaaaaaaa Hahaaaaaaa ππππππChupo haina kazi si kiafya wala kivingine, mi naona ni mazoea tu!
Ukivaa iko ndani hamna anayeiona, ikionekana unaambiwa umekaa vibaya, ukikaa vibaya na isipoonekana unaambiwa uko uchi, hata sielewi kazi yake!
Seriously?duh!Naibandika Pedi kwenye skin tight ndefu bas. Nikimaliza naendelea na utaratibu Wangu
Mimi sio mvaaji wa nguo Fupi wala za kubana hapa inakuwaje
Asante SanaNguo ya ndani yoyote, iwe chupi, fulana au sidiria kazi kuu ni kukinga nguo za nje zisichafuke kwa maji maji yanayotolewa na mwili, kibailojia km jasho, mkojo, shahawa, damu ya hezi, kinyesi, nk.
Sababu nyingine, km chupi husaidia kulinda heshima ya mtu kwa kuhifadhi sehemu za siri vizuri km mwanaume ambaye uume wake utasisimka kwa sababu mbalimbali mbele ya kadamnasi ya watu.
Lakini pia kuna hasara za kiafya kuvaa chupi ikiwa ni pamoja na kujiambukiza magonjwa ya sehemu za siri, kama chupi hazibadilishwi mara kwa mara na mvai mgonjwa.