Hivi viatu vya 3000 huwa vinatoka wapi? Nataka niingie kwenye biashara ya viatu

ukitaka kupata mzigo hakikisha saa 10 kamili inakukuta upo karume au ilala

panga mwenyewe utatoka saa ngapi unapokaa ili 10 kamili ikukute eneo husika

saa 11 tayari pashachangamka na viatu vikali vishawahiwa na wajanja ambaoo saa 9 wapo macho.
Asante sana kaka...jee ni kuchagua kimoja kimoja eeh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukitaka kupata mzigo hakikisha saa 10 kamili inakukuta upo karume au ilala

panga mwenyewe utatoka saa ngapi unapokaa ili 10 kamili ikukute eneo husika

saa 11 tayari pashachangamka na viatu vikali vishawahiwa na wajanja ambaoo saa 9 wapo macho.
Na ni kila siku mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hadi saa 1 wanafungua lakini uwe na nguvu za kutosha tu maana ni full ngumi kwenye kugombania mie nliendaga nkaishia kupata hasira tu maana kuna watu wanajifanya soko kama la baba yao full kilichotokea kuna mmoja akajichangsnya akachezea kelbu za kutosha nkasepa zangu mpka leo sna hamu napo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku tulikurupuka na mshikaji wangu tufanye biashara ya samaki Nyumba ya Mungu Kilimanjaro. Kumbe kile kipindi samaki ni adimu kinoma,wavuvi wakirudi ile mida ya saa nane usiku kama huna nguvu huambulii kitu. Tulienda na mindoo kama minne hivi,tulichoambulia ni robo ndoo halafu tumezinguana na watu huo usiku,mikono imevimba kwa kuchomwa na miba ya samaki,tumelowa chepe chepe kwa kuwa ilikuwa kipindi cha mvua. Hapo nilikuja gundua theories za evolution kama IN THIS WORLD ONLY THE STRONG SURVIVE ni ukweli
Sasa huyu chalii mtoa mada anayeuliziaga mafuta laini ya kufanya ang'are usoni na kua nyororo nyororo hizi mbishe hataziweza.

dodge
 
Kuna siku tulikurupuka na mshikaji wangu tufanye biashara ya samaki Nyumba ya Mungu Kilimanjaro. Kumbe kile kipindi samaki ni adimu kinoma,wavuvi wakirudi ile mida ya saa nane usiku kama huna nguvu huambulii kitu. Tulienda na mindoo kama minne hivi,tulichoambulia ni robo ndoo halafu tumezinguana na watu huo usiku,mikono imevimba kwa kuchomwa na miba ya samaki,tumelowa chepe chepe kwa kuwa ilikuwa kipindi cha mvua. Hapo nilikuja gundua theories za evolution kama IN THIS WORLD ONLY THE STRONG SURVIVE ni ukweli
Ndo changamoto mkuu usipoumia kwa kiasi kikubwa huwezi kufanikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hadi saa 1 wanafungua lakini uwe na nguvu za kutosha tu maana ni full ngumi kwenye kugombania mie nliendaga nkaishia kupata hasira tu maana kuna watu wanajifanya soko kama la baba yao full kilichotokea kuna mmoja akajichangsnya akachezea kelbu za kutosha nkasepa zangu mpka leo sna hamu napo

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku tulikurupuka na mshikaji wangu tufanye biashara ya samaki Nyumba ya Mungu Kilimanjaro. Kumbe kile kipindi samaki ni adimu kinoma,wavuvi wakirudi ile mida ya saa nane usiku kama huna nguvu huambulii kitu. Tulienda na mindoo kama minne hivi,tulichoambulia ni robo ndoo halafu tumezinguana na watu huo usiku,mikono imevimba kwa kuchomwa na miba ya samaki,tumelowa chepe chepe kwa kuwa ilikuwa kipindi cha mvua. Hapo nilikuja gundua theories za evolution kama IN THIS WORLD ONLY THE STRONG SURVIVE ni ukweli
Ni ujinga wetu tu waafrika. Kila kitu ni vurugu. Kwa nini wasibuni njia nzuri zaidi ya kuuza kwa usataarabu? Waweke mnada watu wachuane.
 
Nijuavyo ni kwmba, ukinunua balo la viatu mitumba mule ndani unapata viatu vya grade tofauti tofauti kuanzia vizuri sana hadi vibaya kabisa, sasa unasort viatu vyako vizuri umapanga bei kubwa kisha unaendelea hivyo mpaka unakamilisha idadi yako na makadirio yafaida then viatu vinavyobaki visivyo na ubora sana unaviuza kwa bei chini ndio hivyo unavosema vya elfu 3 na 4.

Asante
Kwan belomoja n kama shingap.kwauzoef wako
 
Back
Top Bottom