Asante sana huo mnada wanauza kwa jumla au ni kimoja kimoja mkuu?Amka asubuhi na mapema wahi karume, kunakua na mnada. Wananunua kwenye mnada asubuhi kisha wanaenda viosha kama ni vya shule wanapiga dai na kiwi mzigo unaingia sokoni.
Asante sana kaka...jee ni kuchagua kimoja kimoja eehukitaka kupata mzigo hakikisha saa 10 kamili inakukuta upo karume au ilala
panga mwenyewe utatoka saa ngapi unapokaa ili 10 kamili ikukute eneo husika
saa 11 tayari pashachangamka na viatu vikali vishawahiwa na wajanja ambaoo saa 9 wapo macho.
Na ni kila siku mkuu?ukitaka kupata mzigo hakikisha saa 10 kamili inakukuta upo karume au ilala
panga mwenyewe utatoka saa ngapi unapokaa ili 10 kamili ikukute eneo husika
saa 11 tayari pashachangamka na viatu vikali vishawahiwa na wajanja ambaoo saa 9 wapo macho.
Hahahahadi saa 1 wanafungua lakini uwe na nguvu za kutosha tu maana ni full ngumi kwenye kugombania mie nliendaga nkaishia kupata hasira tu maana kuna watu wanajifanya soko kama la baba yao full kilichotokea kuna mmoja akajichangsnya akachezea kelbu za kutosha nkasepa zangu mpka leo sna hamu napo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa huyu chalii mtoa mada anayeuliziaga mafuta laini ya kufanya ang'are usoni na kua nyororo nyororo hizi mbishe hataziweza.Kuna siku tulikurupuka na mshikaji wangu tufanye biashara ya samaki Nyumba ya Mungu Kilimanjaro. Kumbe kile kipindi samaki ni adimu kinoma,wavuvi wakirudi ile mida ya saa nane usiku kama huna nguvu huambulii kitu. Tulienda na mindoo kama minne hivi,tulichoambulia ni robo ndoo halafu tumezinguana na watu huo usiku,mikono imevimba kwa kuchomwa na miba ya samaki,tumelowa chepe chepe kwa kuwa ilikuwa kipindi cha mvua. Hapo nilikuja gundua theories za evolution kama IN THIS WORLD ONLY THE STRONG SURVIVE ni ukweli
Ndo changamoto mkuu usipoumia kwa kiasi kikubwa huwezi kufanikiwaKuna siku tulikurupuka na mshikaji wangu tufanye biashara ya samaki Nyumba ya Mungu Kilimanjaro. Kumbe kile kipindi samaki ni adimu kinoma,wavuvi wakirudi ile mida ya saa nane usiku kama huna nguvu huambulii kitu. Tulienda na mindoo kama minne hivi,tulichoambulia ni robo ndoo halafu tumezinguana na watu huo usiku,mikono imevimba kwa kuchomwa na miba ya samaki,tumelowa chepe chepe kwa kuwa ilikuwa kipindi cha mvua. Hapo nilikuja gundua theories za evolution kama IN THIS WORLD ONLY THE STRONG SURVIVE ni ukweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hadi saa 1 wanafungua lakini uwe na nguvu za kutosha tu maana ni full ngumi kwenye kugombania mie nliendaga nkaishia kupata hasira tu maana kuna watu wanajifanya soko kama la baba yao full kilichotokea kuna mmoja akajichangsnya akachezea kelbu za kutosha nkasepa zangu mpka leo sna hamu napo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ujinga wetu tu waafrika. Kila kitu ni vurugu. Kwa nini wasibuni njia nzuri zaidi ya kuuza kwa usataarabu? Waweke mnada watu wachuane.Kuna siku tulikurupuka na mshikaji wangu tufanye biashara ya samaki Nyumba ya Mungu Kilimanjaro. Kumbe kile kipindi samaki ni adimu kinoma,wavuvi wakirudi ile mida ya saa nane usiku kama huna nguvu huambulii kitu. Tulienda na mindoo kama minne hivi,tulichoambulia ni robo ndoo halafu tumezinguana na watu huo usiku,mikono imevimba kwa kuchomwa na miba ya samaki,tumelowa chepe chepe kwa kuwa ilikuwa kipindi cha mvua. Hapo nilikuja gundua theories za evolution kama IN THIS WORLD ONLY THE STRONG SURVIVE ni ukweli
Kwan belomoja n kama shingap.kwauzoef wakoNijuavyo ni kwmba, ukinunua balo la viatu mitumba mule ndani unapata viatu vya grade tofauti tofauti kuanzia vizuri sana hadi vibaya kabisa, sasa unasort viatu vyako vizuri umapanga bei kubwa kisha unaendelea hivyo mpaka unakamilisha idadi yako na makadirio yafaida then viatu vinavyobaki visivyo na ubora sana unaviuza kwa bei chini ndio hivyo unavosema vya elfu 3 na 4.
Asante