Hivi vidonge ni dawa ya nini?

Hivi vidonge ni dawa ya nini?

G.25

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2013
Posts
1,737
Reaction score
1,891
Wakuu kama kichwa cha habari kilivojielekeza, naombeni msaada wa kujua hii ni dawa gani?

IMG_20170508_081112_563.jpg
 
pole xana mkuu,mung akuepushe na akupe damu yake iliyosafi
pol xan in advance
 
Kwenye google umecheck usije ukapata pressure ya bure
 
pole xana mkuu,mung akuepushe na akupe damu yake iliyosafi
pol xan in advance
Sio mm mkuu, hii ni room mate wangu ndo, katuonesha kavikuta kwa dem wake"
 
Sio mm mkuu, hii ni room mate wangu ndo, katuonesha kavikuta kwa dem wake"
japo cvifham ila mwambie amuombee mungu atamutendea mujiz juu ya hicho kidonge
mfikishie pol yangu mung mkubwa
 
G.25 ni ARV hizo, tushazidiscuss sana humu. Aisee ngoma ipo mazee.
 
Sio mm mkuu, hii ni room mate wangu ndo, katuonesha kavikuta kwa dem wake"

Kwanini uwe bize na vitu visivyokuhusu?..kama kweli sio vyako basi jifanyie tathimini. Wewe utakua na matatizo sio bure
 
Back
Top Bottom