Hivi vifo vya mende nishachoka navyo mimi khaah!!!

Hivi vifo vya mende nishachoka navyo mimi khaah!!!

sasa ulitkaka ukute kifo cha UMBWA au!?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu, umenikumbusha kitu, niliona video moja mtandaoni, mzungu anamdinya mbwa, na mbwa nae katulia anausikilizia mkuyenge wa mzungu.
 
Kati ya vifo ulivyokutana navyo vya mende kuna aliyelalia tumbo, sio aliyegeuzwa yeye mwenyewe ameamua kulala kifudifudi.
 
Miaka nenda, miaka rudi nikingia toilet, nakuta kifo cha mende, nikingia sebuleni nakuta kifo cha mende, nikingia chumbani nakuta kifo cha mende, nikingia kitandani loooh salale ndio, majanga kabisa, sasa nasema baaasi! nimechoka....!
color=red]na huyu mende nae, wakati wowote atakaa, miguu juu.
Ww ni KE au ME..
 
Toilet kifo cha mende sio kweli.. sasa huwa unakubali vipi kugarauka pale chin, utaibuka na bakteria..
 
Haaa! Wakuu mada zingine mnatoaga wapi? Na unaanzaje kifikiria?
 
Back
Top Bottom