HOJA Hivi vigezo vya shahada vya Aga Khan University ni vya kipekee nchini? TCU wapo kimyaa!

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
A

Anonymous

Guest
Hongereni kwa kazi nzuri mnayoifanya kila siku inayoinufaisha jamii ya Tanzania na kufichua maovu yanayoboresha maslahi ya wazalendo.

Nina hoja juu ya Chuo Kikuu cha Aga Khan (Aga Khan University - AKU) kinachotoa Degree ya Nursing na ya Ukunga (Bachelor of Science in Nursing) kwa miaka miwili na nusu na Bachelor of Midwifery kwa miaka mitatu.

Miongozo yote Duniani na vyuo vyote Tanzania ikiwemo Muhimbili, Bugando, KCMC, RUCU, UDOM na St. Johns hutolewa kwa miaka minne plus mmoja wa Internship kwa watu wote waliotoka Diploma na Secondary.

Shida ni nini na TCU imeainisha kwenye guide book kabisa kwamba watu hao wa Aga Khan University wanasoma kwa miaka miwili na nusu mpaka mitatu. Je hii ni sawa katika kulinda heshima ya taifa hili na katika maboresho ya kwenda na wakat kuhakikisha elimu yetu inakuwa bora?

Sababu sifa siyo watu kujiendeleza sifa ni kwamba elimu yetu inayotolewa na vyuo vinavyopewa ithibati na TCU inalingana na dunia inavyoenda?

Je, board ya wauguzi na wakunga kwanini wanaendelea kuruhusu Chuo cha Aga Khan kutoa degree hizo kwa miaka miwili na nusu na mitatu kwa kigezo cha kuwa wao wametoka kazini?

Mbona vyuo vingine vyote vya Tanzania vinatoa kozi hizo kwa miaka minne plus mmoja wa intern hapa nchini na Duniani kote, nini kinaendelea Aga Khan? TCU hawalioni?

Mbona daktari akiwa na Diploma, Mfamasia akiwa na Diploma muda wa kusoma degree ni uleule unalingana vyuo vyote nchini?

Kuna nini special Aga Khan University??? TCU hawalioni hili??? Wakomeshe kabisa ndio inafanya wauguzi wenye degree wanaanza na mshahara sawa na degree zinazosoma chuo kikuu miaka mitatu ilhali wanasoma miaka mingi na kazi wanazozifanya ni kubwa mno katika kuokoa uhai wa wananchi mijini na vijijini🙌🙌🙌.
 
Li nchi linaelea baharini halijui kozi gani lichukue.
Achana nayo hiyo, wewe kama una nafasi ya kuiba Iba kama kila mmoja anavyofanya
 
Ushahidi wa ulichokiandika uko wapi?
Weka hizo sifa hapa nasi tuone.
 
Back
Top Bottom