Hivi vikundi vya kigaidi vinavyoanzishwa na Wamarekani tunaogopa kuvilaani kupitia Dini zetu?

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Mimi huwa nachanganyikiwa na hili suala la kusema ISIs, Boko Haram, Al Shabab, Is, Hamas hivi vikundi ukivisema mabaya yake ya wazi kabisa huwa wanakimbilia kusema viliundwa na Marekani lakini husikii vikilaaniwa hata siku moja.

Husikii kwenye nyumba zetu za ibada tukivilaani.
 
Watu wana akili sana ya kutambua ukweli na uongo.
Unachosema ni kweli kuhusu vikundi vyengine vyote ulivyotaja isipokuwa Hamas.Sijawahi kusikia watu wakisifu wala kulaani Bokoharam ndani ya misikiti kwa vile wamevipuuza na havina sifa ya kuwa vikundi vya waislamu.Lakini kwa Hamas miisikiti mingi sana wamekuwa wakiwaombea dua kwa Allah.Hii yaweza kuwa sababu japo wamezingirwa lakini hakujapatika ushindi dhidi yao.
 
Afrika vinaitwa vikundi vya waasi chanzo ni ukabila na vipo sehemu zenye maliasili nyingi kama DRC.
Asia vinaitwa vikundi vya kigaidi chanzo ni dini vinapatikana sehem zenye mafuta.
Amerika kusini vinaitwa magenge ya wahalifu chanzo chake ni madawa ya kulevya huko pia Kuna Mali asili nyingi.
Kwa miongozo hiyo,ndiyo tuhitimishe kwamba USA huwa anaviunda?Kweli?Kila madhila tuwasingizie wao tu?🤣🤣🤣
 
Niambie hivi vikundi vilianza miaka ipi? Mbona saudia , Qatar , Dubai havipo ?

Kwa nn vipo Liby baada ya Gaddaf kuondoka ? Kwa nn vipo Iraq pale middle east na kipind cha Saddam vilikuwa kimya?

Kwa nn kama waislamu wapigane kwa kupewa pesa ilhali hawapigani na Israel ?

Pale Afghanstan unazisikia tena ?
 
Mimi huwa nachanganyikiwa na hili suala la kusema ISIs, Boko Haram, Al Shabab, Is, Hamas hivi vikundi ukivisema mabaya yake ya wazi kabisa huwa wanakimbilia kusema viliundwa na Marekani lakini husikii vikilaaniwa hata siku moja.

Husikii kwenye nyumba zetu za ibada tukivilaani.
Kama vile Israel ilivyoanzishwa na Marekani. Wakaweka mpaka vifungu kwenye biblia. Eti ukiibariki Israel nawe utabarikiwa. Na ukiilaani nawe utalaaniwa. Rubish
 
Afrika vinaitwa vikundi vya waasi chanzo ni ukabila na vipo sehemu zenye maliasili nyingi kama DRC.
Asia vinaitwa vikundi vya kigaidi chanzo ni dini vinapatikana sehem zenye mafuta.
Amerika kusini vinaitwa magenge ya wahalifu chanzo chake ni madawa ya kulevya huko pia Kuna Mali asili nyingi.

Afrika vinaitwa vikundi vya waasi chanzo ni ukabila na vipo sehemu zenye maliasili nyingi kama DRC.
Asia vinaitwa vikundi vya kigaidi chanzo ni dini vinapatikana sehem zenye mafuta.
Amerika kusini vinaitwa magenge ya wahalifu chanzo chake ni madawa ya kulevya huko pia Kuna Mali asili nyingi.
Umesema kweli maana huko Uganda yupo Joseph konyi lakini haitwi gaidi anaitwa muasi
 
Afrika vinaitwa vikundi vya waasi chanzo ni ukabila na vipo sehemu zenye maliasili nyingi kama DRC.
Asia vinaitwa vikundi vya kigaidi chanzo ni dini vinapatikana sehem zenye mafuta.
Amerika kusini vinaitwa magenge ya wahalifu chanzo chake ni madawa ya kulevya huko pia Kuna Mali asili nyingi.

Kuna waasi na kuna magaidi wa kiislamu wacha kuchanganya, kurani yenyewe Ina maandiko ya kuagiza watu wasioiamini wakatwe vichwa, huo ndio ugaidi.
 
Mimi huwa nachanganyikiwa na hili suala la kusema ISIs, Boko Haram, Al Shabab, Is, Hamas hivi vikundi ukivisema mabaya yake ya wazi kabisa huwa wanakimbilia kusema viliundwa na Marekani lakini husikii vikilaaniwa hata siku moja.

Husikii kwenye nyumba zetu za ibada tukivilaani.
Marekani noma. Wanaanzisha hivi vikundi vya kigaidi nakuwafundisha waseme Allah Akbar Allah akbar kabla yakuua.
 
Back
Top Bottom