ISIS walitibiwa Sana hospital za Israel,wakashushiwa silaha na marekani 'kwa bahati mbaya' na Sasa wameanza kurudi kwa Kasi,wanasumbua huko Afghanistan na Iraq Syria wanajikusanyaWest wamekuwa wakipewa lawama za ugaidi,lakini ukweli wafuasi wa mtume hasa wajinga ndo wenye hayo makundi. Marekani inatumika kama kichaka tu.