Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Vinapigania imani yetuMimi huwa nachanganyikiwa na hili suala la kusema ISIs, boko haram, al shabab, Is, Hamas hivi vikundi ukivisema mabaya yake ya wazi kabisa huwa wanakimbilia kusema viliundwa na marekani.
Lakini husikii vikilaaniwa hata siku moja. Husikii kwenye nyumba zetu za ibada tukivilaani.
Iran ndo anawafadhili hela za mafutaWest wamekuwa wakipewa lawama za ugaidi,lakini ukweli wafuasi wa mtume hasa wajinga ndo wenye hayo makundi.Marekani inatumika kama kichaka tu.
Watu wana akili sana ya kutambua ukweli na uongo.Mimi huwa nachanganyikiwa na hili suala la kusema ISIs, Boko Haram, Al Shabab, Is, Hamas hivi vikundi ukivisema mabaya yake ya wazi kabisa huwa wanakimbilia kusema viliundwa na Marekani lakini husikii vikilaaniwa hata siku moja.
Husikii kwenye nyumba zetu za ibada tukivilaani.
Kwa miongozo hiyo,ndiyo tuhitimishe kwamba USA huwa anaviunda?Kweli?Kila madhila tuwasingizie wao tu?🤣🤣🤣Afrika vinaitwa vikundi vya waasi chanzo ni ukabila na vipo sehemu zenye maliasili nyingi kama DRC.
Asia vinaitwa vikundi vya kigaidi chanzo ni dini vinapatikana sehem zenye mafuta.
Amerika kusini vinaitwa magenge ya wahalifu chanzo chake ni madawa ya kulevya huko pia Kuna Mali asili nyingi.
Niambie hivi vikundi vilianza miaka ipi? Mbona saudia , Qatar , Dubai havipo ?Kwa miongozo hiyo,ndiyo tuhitimishe kwamba USA huwa anaviunda?Kweli?Kila madhila tuwasingizie wao tu?🤣🤣🤣
Kama vile Israel ilivyoanzishwa na Marekani. Wakaweka mpaka vifungu kwenye biblia. Eti ukiibariki Israel nawe utabarikiwa. Na ukiilaani nawe utalaaniwa. RubishMimi huwa nachanganyikiwa na hili suala la kusema ISIs, Boko Haram, Al Shabab, Is, Hamas hivi vikundi ukivisema mabaya yake ya wazi kabisa huwa wanakimbilia kusema viliundwa na Marekani lakini husikii vikilaaniwa hata siku moja.
Husikii kwenye nyumba zetu za ibada tukivilaani.
Afrika vinaitwa vikundi vya waasi chanzo ni ukabila na vipo sehemu zenye maliasili nyingi kama DRC.
Asia vinaitwa vikundi vya kigaidi chanzo ni dini vinapatikana sehem zenye mafuta.
Amerika kusini vinaitwa magenge ya wahalifu chanzo chake ni madawa ya kulevya huko pia Kuna Mali asili nyingi.
Umesema kweli maana huko Uganda yupo Joseph konyi lakini haitwi gaidi anaitwa muasiAfrika vinaitwa vikundi vya waasi chanzo ni ukabila na vipo sehemu zenye maliasili nyingi kama DRC.
Asia vinaitwa vikundi vya kigaidi chanzo ni dini vinapatikana sehem zenye mafuta.
Amerika kusini vinaitwa magenge ya wahalifu chanzo chake ni madawa ya kulevya huko pia Kuna Mali asili nyingi.
Afrika vinaitwa vikundi vya waasi chanzo ni ukabila na vipo sehemu zenye maliasili nyingi kama DRC.
Asia vinaitwa vikundi vya kigaidi chanzo ni dini vinapatikana sehem zenye mafuta.
Amerika kusini vinaitwa magenge ya wahalifu chanzo chake ni madawa ya kulevya huko pia Kuna Mali asili nyingi.
Bikira 72 peponi ni janga la duniaKuna waasi na kuna magaidi wa kiislamu wacha kuchanganya, kurani yenyewe Ina maandiko ya kuagiza watu wasioiamini wakatwe vichwa, huo ndio ugaidi.
Marekani noma. Wanaanzisha hivi vikundi vya kigaidi nakuwafundisha waseme Allah Akbar Allah akbar kabla yakuua.Mimi huwa nachanganyikiwa na hili suala la kusema ISIs, Boko Haram, Al Shabab, Is, Hamas hivi vikundi ukivisema mabaya yake ya wazi kabisa huwa wanakimbilia kusema viliundwa na Marekani lakini husikii vikilaaniwa hata siku moja.
Husikii kwenye nyumba zetu za ibada tukivilaani.