ISIS walitibiwa Sana hospital za Israel,wakashushiwa silaha na marekani 'kwa bahati mbaya' na Sasa wameanza kurudi kwa Kasi,wanasumbua huko Afghanistan na Iraq Syria wanajikusanya
Umoja wa mahakama za kiislam ulishika Dola pale Somalia pakatulia, marekani na uingereza wakaona usinitanie,wakawapiga umoja wa mahakama za kiislam na kuibuka Al shabaab
Kama vile Israel ilivyoanzishwa na Marekani. Wakaweka mpaka vifungu kwenye biblia. Eti ukiibariki Israel nawe utabarikiwa. Na ukiilaani nawe utalaaniwa. Rubish