Hivi viongozi wa Simba mnatuchukuliaje wanachama na mashabiki?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001


Hakuna mtu asiyejua kama hatuna mafanikio, lakini sio kutufanya mazuzu kutuletea mafanikio ya kuungaunga.

Mtu anapimwa kwa kufanikisha objectives, sasa mtueleze hizo ndio zilikuwa objectives zenu?

Wanachama ili tuheshimiane kuna kila sababu za kufanya kitu kwa hawa viongozi
 
tulia wewe hayo kwa mangungu mafanikio makubwa sana kama unataka zaidi ya hapo mrudisheni babra
 
Kulia kupokezana, poleni sana Makolokolo.

Utopolo tunatamba miaka hii 2019 - 2024.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Fanikio lingine ni kijiwe cha gahwa kariakoo
 
Hahahahaha...hivi unadhani Rage alikosea ? Tena aliongea ktk mkutano mkuu km hivi
 
Viongozi wa Simba wanapenda kwenda na midundo ya mashabiki wake. Tunamtaka Chama arejee Simba wakamrejesha, tunamtaka kondeboy hao wakamleta. Tunamtaka Manzoki akaletwa Manzoki. Sasa nini leo kushangaa kuandikiwa Community shield ni mafanikio ilihali nyie wenyewe mlilipuka kwa furaha kwa kutwaa community shield na kuona kama lengo la kwanza limetimia
 
Nakushauri kama mdogo wangu, tafuta njia ila punguza mahaba kwa Simba angalau kwa muda maana yajayo yanafurahisha. Simba haina viongozi pale huo ndiyo ukweli.
 
Nakushauri kama mdogo wangu, tafuta njia ila punguza mahaba kwa Simba angalau kwa muda maana yajayo yanafurahisha. Simba haina viongozi pale huo ndiyo ukweli.
Ushauri mzuri ila sidhani km atauzingatia ...we subiri siku washinde mechi kadhaa ndio utajua
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hadi kombe la mashabiki
Limebaki kombe la Mo😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…