mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,092
- 4,896
Unashamgaa HiloKumbe kwenye mkataba wa mbet mliongeza 0 mbele[emoji23]
Mwasibu kama Mwasibu.View attachment 2878980
Hakuna mtu asiyejua kama hatuna mafanikio, lakini sio kutufanya mazuzu kutuletea mafanikio ya kuungaunga.
Mtu anapimwa kwa kufanikisha objectives, sasa mtueleze hizo ndio zilikuwa objectives zenu?
Wanachama ili tuheshimiane kuna kila sababu za kufanya kitu kwa hawa viongozi
Hahahahaha, halafu mwasibu kakaa tu kiboya boya timu inapigwa hela daily huyu mwasibu nina hofu naeMwasibu kama Mwasibu.
Bukubuku zenu warudishe, Fei Toto kawatia ndani za kwenda CAS na za uwanja mmeliwa, Yani nyinyi ni matutusa mnapigwa Tu kila sehemu, Fei Toto anawacheka Tu.
Hahahahaha, jamaa anawapiga tuUnashamgaa Hilo
Bwana fedha anasema products zote za mo zina changia million 400 kwa mwaka
Value for money ipo wapi hapo
Kutokana na milage apatayo mo
Mashabiki wenyewe mambumbumbu unategemea nn...jisomeni humu khs nyuzi zenu kisha jiulizeni kwann msiwe na viongozi km hao ikiwa nyie wenyewe ni mbumbumbu wahedIfike hatua tuache kuwapa uongozi watu waswahili swahili sijui ana histori na Simba. Hawa watu wana maono madogo sana
Upigaji si walijisifia wana bajeti kubwa kuliko timu zote TanzaniaMi bajeti tu ndo imenishangaza, bajeti kubwa sana isiyo na tija
Uko sahihi mkuu. Watu wanasoma Taarifa utadhani wanasomea watoto wa chekechea?View attachment 2878980
Hakuna mtu asiyejua kama hatuna mafanikio, lakini sio kutufanya mazuzu kutuletea mafanikio ya kuungaunga.
Mtu anapimwa kwa kufanikisha objectives, sasa mtueleze hizo ndio zilikuwa objectives zenu?
Wanachama ili tuheshimiane kuna kila sababu za kufanya kitu kwa hawa viongozi
Wanawasomea mbumbumbu kwann waumize kichwa...mbumbumbu unamsomea ki mbumbumbu hivyo hivyo ili aelewe na ndio maana mmeelewa yoteUko sahihi mkuu. Watu wanasoma Taarifa utadhani wanasomea watoto wa chekechea?
Mnogesha sherehe.Hivi Manzoki kwenye kile kikao alikuja kufanya nn?
hili swali hata mimi nilitamani kuuliza,Mi bajeti tu ndo imenishangaza, bajeti kubwa sana isiyo na tija
hili swali hata mimi nilitamani kuuliza,Mi bajeti tu ndo imenishangaza, bajeti kubwa sana isiyo na tija
Hapo sasa🤣🤣🤣Mashabiki wenyewe mambumbumbu unategemea nn...jisomeni humu khs nyuzi zenu kisha jiulizeni kwann msiwe na viongozi km hao ikiwa nyie wenyewe ni mbumbumbu wahed
Alikuja kula ubeche bwasheeHivi Manzoki kwenye kile kikao alikuja kufanya nn?
Na washabiki walifurahia mnoooo kuja kwake akiwemo mleta uzi.Hivi Manzoki kwenye kile kikao alikuja kufanya nn?
Ni mbumbumbu halafu leo eti wanaanzisha uzi wa kuusema uongozi wao wkt wao wenyewe wanajulikana km ni mbumbumbu na viongozi waoNa washabiki walifurahia mnoooo kuja kwake akiwemo mleta uzi.
Eti alikuja kuwananga Yanga. Sijui kwann hili la manzoki kuja kwenye mkutano hawakuliweka kama fanikio nalo