Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Huwa nawashangaa sana watumishi wa serikali. Hivi kwanini wanapenda kuandika vitu na kiviweka public bila kufanya uhakiki wa kilichoandikwa?
Huwa ni wavivu wa kusoma au ni nini? Nimekuta kibao hata Manispaa kwangu eti kameandika SEKONDALI Badala ya SEKONDARI hadi nimeona aibu!
Nyie watumishi wa Manispaa ya Shinyanga kama mmo humo naomba hicho kibao mkaking'oe mwandike upya!