Hivi viranja mliokuwa mnawakamata wachelewaji mnafanya kazi gani sasahivi?

Hivi viranja mliokuwa mnawakamata wachelewaji mnafanya kazi gani sasahivi?

Mm nilikuwaga kiranja wamichezo,& usafi wa ofisi za walimuu....haaahaa sasa hivi ni house girl
 
Mi nilikuwa kiranja wa USAFI,nilikuwa mnoko balaa hadi wanafunzi walininyima kura wakati nagombea kuwa HP.wanafunzi wanapenda sana laizer fair
 
Daah umenikumbusha mbali mana nilikua nakamatwa kwa kuchelewa vibaya mno
 
Tumepewa ukuu wa mikoa au we hautuoni hapa daresalama???
 
Back
Top Bottom