Hivi visomo huwa vinasaidia?

Hivi visomo huwa vinasaidia?

Kisomo kinajibu jamani sio utani. Niliwahi kushuhudia mti mbichi ukisomewa na ukakauka kama umepigwa radi na yule mkosaji alibabuka ngozi kama kaunguzwa na uji wa moto na hakuwahi kuvaa nguo tena hadi umauti wake. Kosa lake lilikuwa kukwapua begi la nguo la mtoto aliyekuwa anakwenda shule stesheni x na huyo msamaria aliyeanzisha kisomo naye alikuwa safarini pia na wakikuwa hawafahamiani na mtendwa! Binafsi naamini kuwa kisomo kinafanya kazi iliyokusudiwa.
 
Waende zao huko mi nilipigwa kisomo badala ya kufanikiwa kama nilivyotaka ndio mikosi ikaniandama.
 
Back
Top Bottom