Hivi visuruali vinawapendeza sana wanawake.

Nguo umeisingizia tu we ukiona combo ya Nyama nyingi, vipini, bleach & iphone na makoro makoro yenye ufanano huo jua tu huyo binti kichwani ni window 7
hatutakiwi kuweka watu kwenye makundi ila ni ngumu mda mwingine

unakuta anaongea kiswanglish broken, mada zake zote ni kuhusu mapenzi dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…