KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Punyeto,
Ushoga,
Usagaji,
Kutokana na ongezeko kubwa la watu duniani na huku mazingira yakihitaji uwiano, vitendo hivyo vimeibuka ili kuifanya namba ya watu kuwiana na mazingira.
Si kwamba naunga mkono mambo hayo la hasha! ni mawazo tu!
Vitendo hivi vinasaidia katika balance of nature kutokana na manii zinazotoka katika matendo hayo hazipelekei kuundwa/kusababisha kuzaliwa kwa kiumbe kipya ambacho kitaongezeka katika mazingira.
Hazisababishi kuundwa kwa kiumbe kipya kwa sababu kwanza kwenye punyeto mara nyingi ni kitendo anachoshiriki mtu mmoja, hivyo hupelekea kutokuwepo kwa uwezekano wa utungwaji wa mimba.
Pia katika ushoga na usagaji ni vitendo vinavyohusisha watu wa jinsia moja, hivyo ni ngumu kwa watu hao kupelekea mimba.
Hebu fikiri kama hizo manii zilizopotea katika hayo matendo wangezaliwa watu mazingira yangeweza kuhimiri?
Hao watu wangehitaji
Chakula
Makazi
Mavazi n.k
Haya hayo ni mafikirio yangu yako je?