Hivi vitimu vidogo vyote vinaikamia Simba tu.

Ndo hivo asee sema game ya leo yule mbunge wa dom mwana UTO alikuwa katia mzigo wake ndo maana wajomba wa dodoma jiji walikuwa wanacheza jihad tu leo
 
Tunaiita sasa ni biriyani jipya,mk son, bwalya son, bokoson, mugalson. Sasa yafaa mjikubali, ubingwa hesabuni miaka saba ijayo kuanzia huu, halafu ngoma inatiririkia jangwani tu.
Unaota wewe labda ubingwa wa kusokomezwa mwiko matakoni

Ki yanga hicho!
Acha kuwasingizia hao,mliambiwa yupo mdaka mishale mlibeza,mliambiwa vyote vizuri mtaporwa mkabeza, Tumewa Katia umeme kwenye Mnara, mkawa wabishi, Tumemsajili Top boss, japo bado hamuamini, sasa tunawaza mtengaji mkuu. Basi hamja kubali mwaka wa majonzi😂.Kwa kolokocho fc
 
Ni kawaida kwa timu iliyotoka kuchukua ubingwa kukamiwa na timu zote zinazoshiriki ligi,, siyo timu ndogo tu bali tim zote.

Ile simba kubeba kombe mara nne mfululizo si jambo la kitoto hata kidogo,, ujue wachezaji wameumia hasa,,,, na hela imeunguzwa vya kutosha.
 
Tunaiita sasa ni biriyani jipya,mk son, bwalya son, bokoson, mugalson. Sasa yafaa mjikubali, ubingwa hesabuni miaka saba ijayo kuanzia huu, halafu ngoma inatiririkia jangwani tu.
Unamjua Duncan Nyoni wewe , kanoute ushaona kazi yake, banda ndo usiseme sema tulia uone samba ambalo tutaanza kutembeza kocha akinipangia kikosi kizuri au wasemaje mwana UTO
 
Unamjua Duncan Nyoni wewe , kanoute ushaona kazi yake, banda ndo usiseme sema tulia uone samba ambalo tutaanza kutembeza kocha akinipangia kikosi kizuri au wasemaje mwana UTO
Leo tu,kama sii mbeleko la chuma cha pua,mlivyorukaruka,mbeleko la gunia lingechanika.
 
Unamjua Duncan Nyoni wewe , kanoute ushaona kazi yake, banda ndo usiseme sema tulia uone samba ambalo tutaanza kutembeza kocha akinipangia kikosi kizuri au wasemaje mwana UTO
Mara hii mkubali kuwa wapole,msije mkatutoka wote kwa mishtuko,aka pressure.
 
Leo tu,kama sii mbeleko la china cha pua,mlivyorukaruka,mbeleko la gunia lingechanika.
Mpira una sheria home boy pale tulikuwa hatufanyi wrestling sema jamaa yule anakufaa mwana UTO make hadi kwenye logo yako ya primary naona unawatambua na wazee wa masumbwi
 
Nimesikitishwa na mchezo wa Dodoma jiji kwa kuwa waliimgia na nia ya kuumiza wachezaji.Huu uhuni unaratibiwa na kitimu chenzao kidogo ila kikongwe.
Utopolo wanawalipa wahujumu mpira
 
Dodoma wajitafakari sana. Binafsi ndio second team ninayoipenda baada ya Simba hapa na declare interest.
Ila kinachoendelea Dodoma mtakuja kupotea kama ilivyopotea Toto Africa hili ni suala la muda tu.
Hizo ahadi tuzione pia wakicheza na Yanga.
Tunajua kwamba Mavunde ni shabiki lialia wa Yanga.
 
Soka la bongo ni kama ngumi za kulipwa...

Timing yako tu...
 
Ushindi wenu wa leo haukustaili hata kushangilia maana full team vs dodoma iliyopwaya wachezaji wawili kwa timu kubwa kama simba ni aibu

Kunywa maji ya baridii.Ndiyo tumeanza hivyo,njia moja kuelekea Ubingwa mara ya tano mfululizo.Utopolo mkae kwa kutulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…