Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makolo muli bwanji babaaIna maana wewe uto hapo hujaelewa nini? kweli manyani fc mna brain ndogo kama ya khukhu
Tunaiita sasa ni biriyani jipya,mk son, bwalya son, bokoson, mugalson. Sasa yafaa mjikubali, ubingwa hesabuni miaka saba ijayo kuanzia huu, halafu ngoma inatiririkia jangwani tu.Huyo chama mbona haisaidii berkane mechi ya nne wametoa droo
Hakuna timu ndogo kongwe,acha kutudanganya.
Unaota wewe labda ubingwa wa kusokomezwa mwiko matakoniTunaiita sasa ni biriyani jipya,mk son, bwalya son, bokoson, mugalson. Sasa yafaa mjikubali, ubingwa hesabuni miaka saba ijayo kuanzia huu, halafu ngoma inatiririkia jangwani tu.
Acha kuwasingizia hao,mliambiwa yupo mdaka mishale mlibeza,mliambiwa vyote vizuri mtaporwa mkabeza, Tumewa Katia umeme kwenye Mnara, mkawa wabishi, Tumemsajili Top boss, japo bado hamuamini, sasa tunawaza mtengaji mkuu. Basi hamja kubali mwaka wa majonzi😂.Kwa kolokocho fcKi yanga hicho!
Unamjua Duncan Nyoni wewe , kanoute ushaona kazi yake, banda ndo usiseme sema tulia uone samba ambalo tutaanza kutembeza kocha akinipangia kikosi kizuri au wasemaje mwana UTOTunaiita sasa ni biriyani jipya,mk son, bwalya son, bokoson, mugalson. Sasa yafaa mjikubali, ubingwa hesabuni miaka saba ijayo kuanzia huu, halafu ngoma inatiririkia jangwani tu.
Tuliza boli,ukweli mchungu kwa kolokocho fc.
Leo tu,kama sii mbeleko la chuma cha pua,mlivyorukaruka,mbeleko la gunia lingechanika.Unamjua Duncan Nyoni wewe , kanoute ushaona kazi yake, banda ndo usiseme sema tulia uone samba ambalo tutaanza kutembeza kocha akinipangia kikosi kizuri au wasemaje mwana UTO
Red dakika ya nyongeza,acha umbumbumbuLwanga alipewa red, mbona mmeshindwa kuongeza la pili?
Mara hii mkubali kuwa wapole,msije mkatutoka wote kwa mishtuko,aka pressure.Unamjua Duncan Nyoni wewe , kanoute ushaona kazi yake, banda ndo usiseme sema tulia uone samba ambalo tutaanza kutembeza kocha akinipangia kikosi kizuri au wasemaje mwana UTO
Mpira una sheria home boy pale tulikuwa hatufanyi wrestling sema jamaa yule anakufaa mwana UTO make hadi kwenye logo yako ya primary naona unawatambua na wazee wa masumbwiLeo tu,kama sii mbeleko la china cha pua,mlivyorukaruka,mbeleko la gunia lingechanika.
Utopolo wanawalipa wahujumu mpiraNimesikitishwa na mchezo wa Dodoma jiji kwa kuwa waliimgia na nia ya kuumiza wachezaji.Huu uhuni unaratibiwa na kitimu chenzao kidogo ila kikongwe.
Upole wetu msimu huu ni kufika semi final tu ya champions league hamna kingineMara hii mkubali kuwa wapole,msije mkatutoka wote kwa mishtuko,aka pressure.
Ushindi wenu wa leo haukustaili hata kushangilia maana full team vs dodoma iliyopwaya wachezaji wawili kwa timu kubwa kama simba ni aibu
Timu kongwe ni likubwa jinga linataka kufanikiwa kwa shortcut