Hivi vitimu vidogo vyote vinaikamia Simba tu.

Ukiwa na timu mbovu kila unayekutana nae unahisi anakamia.

Mbona msimu ulopita mlikua hamlalamiki maswala ya kukamia? Na prison walikua wanacheza pira gwaride?
 
Nyie mna timu gani Utopolo, ile iliyoshinda kwa goli la Chupli chupli dhidi ya kagera.

Timu inacheza mieleka unasema hawajakamia?
 
Kweni kukamia maana yake nini?
Na timu ichezeje ili isionekane imekamia?
 
Kukamia ni kushindwa kucheza mpira kiufundi na kiungwana, badala yake kuumiza wachezaji wa timu pinzani.
 
Kisheria hii imesimamaje? Kuna adhabu yoyote kwa timu kukamia mechi?
 
Ukiwa na timu mbovu kila unayekutana nae unahisi anakamia.

Mbona msimu ulopita mlikua hamlalamiki maswala ya kukamia? Na prison walikua wanacheza pira gwaride?
Unaumiza wachezaji watatu kwenye match 1 tena kipindi cha kwanza hujiulizi?
 
Hakuna isipokuwa mkamia maji hayanywi.
Ndio maana wanatumia njia za kuumiza wachezaji maksudi ili waawatushe wasicheze
Kisheria hii imesimamaje? Kuna adhabu yoyote kwa timu kukamia mechi?
 
Sasa kwanini tunalalamika timu zikikamia? Na swala la kuumia wachezaji wanaumia mda wowote ata mazoezini wanaumia.
Hakuna isipokuwa mkamia maji hayanywi.
Ndio maana wanatumia njia za kuumiza wachezaji maksudi ili waawatushe wasicheze
 
JK anataka kombe nani wa kumzuiaa na ndio mwenye nchi
 
Mlezi na Shabiki kindakindaki wa Yanga akiwapa hela KMC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…