Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie mna timu gani Utopolo, ile iliyoshinda kwa goli la Chupli chupli dhidi ya kagera.Ukiwa na timu mbovu kila unayekutana nae unahisi anakamia.
Mbona msimu ulopita mlikua hamlalamiki maswala ya kukamia? Na prison walikua wanacheza pira gwaride?
Kweni kukamia maana yake nini?Nyie mna timu gani Utopolo, ile iliyoshinda kwa goli la Chupli chupli dhidi ya kagera.
Timu inacheza mieleka unasema hawajakamia?
Kukamia ni kushindwa kucheza mpira kiufundi na kiungwana, badala yake kuumiza wachezaji wa timu pinzani.Kweni kukamia maana yake nini?
Na timu ichezeje ili isionekane imekamia?
Kisheria hii imesimamaje? Kuna adhabu yoyote kwa timu kukamia mechi?Kukamia ni kushindwa kucheza mpira kiufundi na kiungwana, badala yake kuumiza wachezaji wa timu pinzani.
Adhabu yake red card ukicheza mieleka badala ya mpira.Kisheria hii imesimamaje? Kuna adhabu yoyote kwa timu kukamia mechi?
Unaumiza wachezaji watatu kwenye match 1 tena kipindi cha kwanza hujiulizi?Ukiwa na timu mbovu kila unayekutana nae unahisi anakamia.
Mbona msimu ulopita mlikua hamlalamiki maswala ya kukamia? Na prison walikua wanacheza pira gwaride?
Naongelea adhabu kama timuAdhabu yake red card ukicheza mieleka badala ya mpira.
Unaumiza wachezaji watatu kwenye match 1 tena kipindi cha kwanza hujiulizi?
Makolo tuli muche babaaaMakolo muli bwanji babaaa
Walimchukua Chama na Luiz kwa lengo tu la kuidhoofisha Simba. Ili watese Club Bingwa.Huyo chama mbona haisaidii berkane mechi ya nne wametoa droo
Kweni kukamia maana yake nini?
Na timu ichezeje ili isionekane imekamia?
Kisheria hii imesimamaje? Kuna adhabu yoyote kwa timu kukamia mechi?
Hakuna isipokuwa mkamia maji hayanywi.
Ndio maana wanatumia njia za kuumiza wachezaji maksudi ili waawatushe wasicheze
Ndoto za wanakolokolo fc,bora muishi kwa matumaini😂Kunywa maji ya baridii.Ndiyo tumeanza hivyo,njia moja kuelekea Ubingwa mara ya tano mfululizo.Utopolo mkae kwa kutulia
Mlezi na Shabiki kindakindaki wa Yanga akiwapa hela KMCDodoma wajitafakari sana. Binafsi ndio second team ninayoipenda baada ya Simba hapa na declare interest.
Ila kinachoendelea Dodoma mtakuja kupotea kama ilivyopotea Toto Africa hili ni suala la muda tu.
Hizo ahadi tuzione pia wakicheza na Yanga.
Tunajua kwamba Mavunde ni shabiki lialia wa Yanga.