Nitavisifu kwa ujasiriWewe ni Mwalimu wa Chekechekea .Vinakuja vitoto viwili cha Kike na Kiume huku vikibishana. Vinapofika kwako mambo yanakuwa hivi;
Kasichana: Eti mwalimu mtu akifanya mapenzi katika umri wetu anaweza kupata mimba?
Mwalimu: Hawezi kupata mimba (Tena unatoa jibu kwa hofu kweli)
Kavulana: (Huku akikaangalia katoto ka kike) Si nilikuambia hujapata mimba halafu wewe unabisha.
Kama wewe ni mwalimu utavifanya nini vitoto hivi?
Wa kuuliza bila wogaMshana ujasiri upi hapo?
kila awamu upoHahahaha duuh nitawakanya siku nyingine wasirudie tena na nitawafatilia mienendo yao huku nikiwahimiza wazazi wao kuwachunga