Hivi vitoto utavifanya nini?

Hivi vitoto utavifanya nini?

b191

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
742
Reaction score
1,031
Wewe ni Mwalimu wa Chekechekea .Vinakuja vitoto viwili cha Kike na Kiume huku vikibishana. Vinapofika kwako mambo yanakuwa hivi;

Kasichana: Eti mwalimu mtu akifanya mapenzi katika umri wetu anaweza kupata mimba?

Mwalimu: Hawezi kupata mimba (Tena unatoa jibu kwa hofu kweli)

Kavulana: (Huku akikaangalia katoto ka kike) Si nilikuambia hujapata mimba halafu wewe unabisha.

Kama wewe ni mwalimu utavifanya nini vitoto hivi?
 
Hahahaha duuh nitawakanya siku nyingine wasirudie tena na nitawafatilia mienendo yao huku nikiwahimiza wazazi wao kuwachunga
 
Kwani walikuwa wanahitaji kingine? Nimeshawapa jibu la swali lao.

Vitoto vyenyewe ukijifanya kuviadhibu au kuwafokea, wazazi wap wanakuja juu. Nawaacha tu.
 
Kwa kuwa jibu lilishatoka hakuna budi kuwa acha wakafanye yao
 
Wewe ni Mwalimu wa Chekechekea .Vinakuja vitoto viwili cha Kike na Kiume huku vikibishana. Vinapofika kwako mambo yanakuwa hivi;

Kasichana: Eti mwalimu mtu akifanya mapenzi katika umri wetu anaweza kupata mimba?

Mwalimu: Hawezi kupata mimba (Tena unatoa jibu kwa hofu kweli)

Kavulana: (Huku akikaangalia katoto ka kike) Si nilikuambia hujapata mimba halafu wewe unabisha.

Kama wewe ni mwalimu utavifanya nini vitoto hivi?
Nitavisifu kwa ujasiri
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Lazima utaongea nao kutaka kufahaku zaidi, wameyajulia wapi hayo,walifanyaje,wanafahaku nini kuhusu mimba nk nk nk
Then utashirikisha wazazi wao.
 
Nitaviuliza mmefanyeje mapenzi, waweza kutA waligonganisha viganjA vyao
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Bujibuji kuna mapenzi ya kugonganisha viganja na mtu akawa na wasiwasi wa mimba?
 
Nitaviambia fanyeni tena nione mlivyofanya..[emoji129]
 
Back
Top Bottom