Hivi vitu akifanya Mangungu au Try Again tutawakuta muhimbili wamelazwa

So what nini loser? Alichokileta hapa mleta uzi ni kuonesha kuwa mbali ya kuwa kiongozi ila mpira anaujua haswa. Kuna watu hata danadana hawawezi ila alivyouchezea mpira hata mimi nilistuka kama ni yeye kweli.

Kwani kuweza kupiga danadana ,Kuna kufanya kuwa nani ..what is so special ! Mbona mnapima Viongozi Kwa macho tege!
 
We loser, tofautisha kupiga danadana na kuonesha skills
 
Back
Top Bottom