NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
So what nini loser? Alichokileta hapa mleta uzi ni kuonesha kuwa mbali ya kuwa kiongozi ila mpira anaujua haswa. Kuna watu hata danadana hawawezi ila alivyouchezea mpira hata mimi nilistuka kama ni yeye kweli.So what, Jf imejaa mburura sana siku hizi!
So what nini loser? Alichokileta hapa mleta uzi ni kuonesha kuwa mbali ya kuwa kiongozi ila mpira anaujua haswa. Kuna watu hata danadana hawawezi ila alivyouchezea mpira hata mimi nilistuka kama ni yeye kweli.
Kwani kuweza kupiga danadana ,Kuna kufanya kuwa nani ..what is so special ! Mbona mnapima Viongozi Kwa macho tege!So what nini loser? Alichokileta hapa mleta uzi ni kuonesha kuwa mbali ya kuwa kiongozi ila mpira anaujua haswa. Kuna watu hata danadana hawawezi ila alivyouchezea mpira hata mimi nilistuka kama ni yeye kweli.
Unataka kuchomia miwani ya muwekezaji,?Muweke na Mo
We loser, tofautisha kupiga danadana na kuonesha skillsKwani kuweza kupiga danadana ,Kuna kufanya kuwa nani ..what is so special ! Mbona mnapima Viongozi Kwa macho tege!
Mo aliwahi piga danadana ilikuwa balaa ni alitamba sebule nzima na mpira tena ulikuwa haujajaa vizuriUnataka kuchomia miwani ya muwekezaji,?
Tunajisahau tukifanya mazoezi endeleve hakuna cha ajabuMo aliwahi piga danadana ilikuwa balaa ni alitamba sebule nzima na mpira tena ulikuwa haujajaa vizuri