Followers ni members wa JF ambao wanakufuatilia
Following ni wale members ambao wewe unawafuatilia
Ukiingia profile ya member yoyote utaona kuna option ya kum-follow na yeye akiona vipi anakufollow
Kuhusu hizo trophy points sijazipata kidogo ila nafahamu kiasi tu... ziko hadi 280 na zinatokana na vitu mbalimbali ulivyofanya ndani ya jukwaa na huanza tu pale unapokuwa new member hadi JF Expert member (sijajua kwa undani mods wanazitoaje)
Anyways ngoja wataalamu waje, nimeeleza kadri nielewavyo..kama nmekosea ruksa kunisahihisha