On a serious note, inabidi tuwajenge watoto wetu Tena tuwajenge hasa psychologically. Self esteem ni janga la kitaifa na ujiangalia wengi wa hawa 'maboya' ni watu ambao hawajiamini na hivyo hupelekea kuwa wenye roho mbaya na hapo kuanza kuwachingea wenzao ambao wanahisi wapo vizuri zaidi yao in terms of money, status or intelligence.
Inabidi tuwafundishe watoto wetu kujiamni na kubali capacity yao. Someone will always be better than us in all aspect stated before. Money, status and even intelligence therefore we should be content in who we are and should we ever need to compete, then we should compete against ourselves, against who we were yesterday.
Sisemi we should not compete amongst ourselves, no. Yardstick ya kupima who or what we should compete against haitakiwi igubikwe na chili, wivu fitna etc. Tuwafundishe kubali kwamba katika mashindano kuna kupata na kukosa na katika kupata na kukosa it doesn't make you a lesser human being
Pia tuwafundishe kuhusu hela, mali, utajiri, vyeo, status, etc Hivi vitu havitakiwi kuwa ndo kipimo Cha ubinaadamu wetu. View ni vitu tu vya kufanya maisha yaendelee lakini hayafai kuwa substitution ya ubinaadamu.
It is going to be a long and difficult journey but if we all aspire to change we can do it.