On a serious note, inabidi tuwajenge watoto wetu Tena tuwajenge hasa, psychologically. Self esteem ni janga la kitaifa na ukiangalia wengi wa hawa 'maboya' ni watu ambao hawajiamini na hivyo hupelekea kuwa wenye roho mbaya na hapo kuanza kuwachongea wenzao ambao wanahisi wapo vizuri zaidi yao in terms of money, status or intelligence.
Inabidi tuwafundishe watoto wetu kujiamini na kukubali capacity yao. Someone will always be better than us in all the aspects stated before. Money, status and even intelligence, therefore we should be content in who we are and should we ever need to compete, then we should compete against ourselves, against who we were yesterday.
Sisemi we should not compete amongst ourselves, no. Yardstick ya kupima who or what we should compete against haitakiwi igubikwe na chili, wivu, fitna etc. Tuwafundishe kukubali kwamba katika mashindano kuna kupata na kukosa na katika kupata na kukosa it doesn't make you a lesser human being instead we should appreciate what we have and where we are in life.
Pia tuwafundishe kuhusu hela, mali, utajiri, vyeo, status, etc Hivi vitu havitakiwi kuwa ndo cipimo Cha ubinaadamu wetu. Hivi ni vitu tu vya kufanya maisha yaendelee lakini hayafai kuwa substitution ya ubinaadamu.
It is going to be a long and difficult journey but if we all aspire to change we can do it.