Hivi vitu tunavidharau, vinakuja kututesa sana

Kwa sababu mambo mengi ya wabongo ni magumashi na shortcuts ndio maana watu wanajipendekeza sana kwa wenye mamlaka
Mimi huwa nakereka sana nikiona watu wazima wanafanya ass licking Kwa mtu sababu ya cheo au pesa...
 
Hata sijui but naona tufundishe watoto namna ya Ku deal na mazingira yote
Wasitegemee Tu kuwa fair na hardworking..
Wasije kuwa frustrated

Niliwaza hivi siku moja
Dunia haina usawa,kuna mazingira ukimfundisha mtoto utamuumiza
Lucky for me wazazi wangu walinifundisha njia nyingi
Nakumbuka nimewahi kuambiwa usikubali kuonewa,mtu akikuzingua mzingue etc so kiukweli nilikuwa na kiubabe flani hivi lakini hii hali ilinisaidia sana
Wanangu nategemea kuwafundisha pia hii dunia si ya wanyonge haina usawa
 
Ukiona mtu mnafiki eneo la kazi jua ni mbumbumbu.
Ukiona anakunafikia jua ww unakiwango kizur kumzid na anaogopa usimzidi zaid
 

Upo sahihi
Kuna watu unakutana nao hawana confidence mpaka kwenye vitu muhimu kuwahusu wao mpaka huwa najiuliza wanaishije
Ni balaa I wish ningesema mengi but watanzania wengi wanauhitaji wa psychological help kutokana na malezi na mazingira tulio kulia
 
You do everything by the book and play by the rules. Unasoma kwa bidii, una nidhamu and a strong work ethic. Ila haitoshi.

It doesn't pay playing by the rules hii nchi! SMH
 
Hili nalo neno!
 
Daaah! Pole sana mkuu kwa yaliyokukuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…