Hivi vitu vitatu ndio msingi wa maisha ya binadamu

Hivi vitu vitatu ndio msingi wa maisha ya binadamu

Karibu msosi
FB_IMG_1721470477205.jpg
 
Huo sio msingi wa maisha, hayo ni mahitaji ya lazima na msingi, hapo muhimu ni kula, chakula utapata kutokana na kufanya kazi Kwa bidii na maarifa, ukishakula ndio unapata nguvu za kua na ashki au hamu ya ngono, ukifanya ngono ndio kuna kuzaliana
 
Chakula, malazi na mavazi ndio mahitaji ya muhimu na ya msingi Kwa dunia ya mtu wa kawaida, ili hali kuna watu walishatoka kuwaza hivo vitu kama mahitaji muhimu maana walishajihakikishia kuvipata bila shida na Kwa namna yoyote
 
Back
Top Bottom