Hivi vitu vitatu ndio msingi wa maisha ya binadamu

Hivi vitu vitatu ndio msingi wa maisha ya binadamu

Dogo umepotelea wapi? Kwa nadra sana jamvin.
Mimi bado nasoma sasa nipo kipindi cha mitihani , napambana nisifeli ndio maana nimepunguza Matumizi ya mitandao ya kijamii kwa kiasi kikubwa.

Shule zikifungwa In shaa Allaah nitarudi kwa Kasi mpya kupambana na wewe pamoja na genge lako humu.Sasa nawazoom tu mjiandae , soon I Shall return as Gunman #AdrizTheGunMan
 
Dogo Acha vituko.
 
Natoa onyo Kali na kukutahadharisha mapema wewe na genge lako kuwa mjiandae GunMan nitarudi kwa ujio mpya , ngoja nizime data niendelee kujisomea.
9421d6419e844f1f9900e83f3c3c7631.jpeg
8a8cc0447faa4d9c821f0d38ec4ec34c.jpeg
 
Sijui kwanini watu wanachukuliaga poa malazi... Ni muhimu sana hii kitu.

Fikilia yametokea majanga kama vita mafuriko matetemeko nk harafu ni maeneo yenye extreme weather(maeneo kama haya malazi ni kipaumbele namba moja halafu mambo mengine baadae.
Utakula, kunya na kujamiiana chini ya mti?
 
Back
Top Bottom