Hivi vituko vyenu akina dada vitaisha karne ya ngapi?

Sasa kama wewe unaona ni utoto kwanini uhangaike nao? Wewe ni mtu mzima mwenye akili, ila huko unakoelekea watu wataanza kukuona na wewe mpuuzi sasa.

kumbe bado unalo moyon ...mie walaa! naondoka kwenue uzi wako
 
Naona kuna mtu hapa povu limemtoka kana kwamba katajwa yeye au wewe ndo happy wa fb? Nina mashaka nawe.
 
Naelekea fb nakwenda kuwachokonoa tena kina happy halafu nawaleta hapa. Povu ruksa.
 
Hahahaha mkuu yan hawa viumbe sjui wa sayari gani. Kuna kamoja juz tumechat nacho kikaomba tumeet, nmemeet nae kesho yake tangu siku hyo kawa yatima, mara nataka kwenda saluni, mara vocha kila baada ya masaa mawili, mara pedi sina mara dada ametoka nipo hom mwenyewe siwezi kupika woi leo katoa kubwa kuliko et alikula ada anataka nimuongezee nmecheka naona profile pic whatsapp haipo nahisi kashaniblock

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haaaaa!
 
Mwingine huyu[emoji23][emoji23][emoji23]
IMG-20190401-WA0023.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe usitake kujifanya mwema kisa kutafuta sifa kwa madem humu... Na wewe huna lolote kavu wewe.

Mkuu umesema Ukweli ,Kuna wanaume humu jamii forum huwa wanajipendekeza kwA madem/wanawake Yani Mfano mwanamke akimjibu vibaya au kumtukana mwanaume utaona wanakenua tu na kumsifia huyo demu nA kumuona mwanaume tatizo.
 
Wanatafuta ukaribu zaidi ili waonekane wema... Na ikiwezekana wanapotaka ya kwao wasipate usumbufu watumie ganda la ndizi tu.
 
Back
Top Bottom