Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Ndo maana niliamua kukupotezeaga pm!utoto sana...!km umeona anazengua si ungempotezea tu[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Chura ipo?[emoji16][emoji16][emoji16]
Mtoa Mada amekuchoma? Naona kama hili ni povu. Muache aumbue njanjaaa hao [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahaaha....Mukiambiwa mna tabia za kiwaki mnaona kama mnaonewa...View attachment 1058532View attachment 1058533View attachment 1058534View attachment 1058535
Sasa kama wewe unaona ni utoto kwanini uhangaike nao? Wewe ni mtu mzima mwenye akili, ila huko unakoelekea watu wataanza kukuona na wewe mpuuzi sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23] dah...hicho kigezo huwa kinaninyong'onyeza sana...jaman achen hizo nyie...
Haaaaa!Hahahaha mkuu yan hawa viumbe sjui wa sayari gani. Kuna kamoja juz tumechat nacho kikaomba tumeet, nmemeet nae kesho yake tangu siku hyo kawa yatima, mara nataka kwenda saluni, mara vocha kila baada ya masaa mawili, mara pedi sina mara dada ametoka nipo hom mwenyewe siwezi kupika woi leo katoa kubwa kuliko et alikula ada anataka nimuongezee nmecheka naona profile pic whatsapp haipo nahisi kashaniblock
Sent using Jamii Forums mobile app
Anasema inayojaa ni sim kwenye chaji.[emoji23][emoji23][emoji23] hawa viumbe hatari sana, kajizungusha mzee anaona hujai tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe usitake kujifanya mwema kisa kutafuta sifa kwa madem humu... Na wewe huna lolote kavu wewe.
Wengine hawana hata shida ila anatumia njia hiyo kukufukuza na anajua utakimbia tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanatafuta ukaribu zaidi ili waonekane wema... Na ikiwezekana wanapotaka ya kwao wasipate usumbufu watumie ganda la ndizi tu.Mkuu umesema Ukweli ,Kuna wanaume humu jamii forum huwa wanajipendekeza kwA madem/wanawake Yani Mfano mwanamke akimjibu vibaya au kumtukana mwanaume utaona wanakenua tu na kumsifia huyo demu nA kumuona mwanaume tatizo.