Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,090
- 13,511
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona wanawake tumekua hivi jamani. This is too much[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli kujiendekeza mtu unalalamika njaa badala utafutr chakula ule
Utoto umezidi sana jf...pamekua panaboaa
Mkuu pole,naona umekwazika sana.
Ulinipotezea??? Kwa lipi, kuna kitu chochote ambacho nilikuomba/kukushobokea? Unatafuta kiki hapa hupati.
Hahahah toa hela mkuuMukiambiwa mna tabia za kiwaki mnaona kama mnaonewa...View attachment 1058532View attachment 1058533View attachment 1058534View attachment 1058535
Wallah hakuna hata dem mmoja aliewahi kunifanyia upuuzi kama huyu nikamkubalia. Wote huwaga nawatoa kiaina.
Kuna dem mmoja keshapanik kisa vitabia vyao... Wanataka tuvivumilie.
Kuna wengi nilikua nachat nao pm na wala hawajakerekwa kama huyu... Nahisi ana lake sio bure. Lakini itakua ni wale wale nasikia njaa.
Kuna wengi nilikua nachat nao pm na wala hawajakerekwa kama huyu... Nahisi ana lake sio bure. Lakini itakua ni wale wale nasikia njaa.